Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Huu wa rufiji hydropower uendane na kuondoa kabisa shida ya kukatika kwa umeme na vilele kupunguza gharama ya malipo ya umeme kwa kuondoa vitozo vyote vya kutuibia wananchi,imagine kila unaponunua umeme mara ya kwanza kwanza kwa mwezi unakatwa elfu 4.5,huu ni wizi wa serikali dhidi ya wananchi
Hata JNHPP ikikamilika shida ya kunganisha umeme itakuwa pale pale maana hakuna competition utake usitake lazima uwaone tanesco uwapigie magoti ndio upate umeme kwasababu hawako business minded wao shirika likipata hasara haiwahusu mishahara yao iko pale pale ndio maana tuna low customer connection rate.
Halafu JNHPP haiwezi kufanya kazi bila improved transmission imagine una 2115MW lakini transmission iko weak ya low capacity 66kv, 132kv a few 400kv how do you expect to haul electricity from JNHPP with such infrastructure
 
I compared the amount to your budget and he said my sentiments were not true because the amount is just 50% of your GDP. If you can't get his lack of understanding from that then you're no different from him.
We kima how do you associate budget na investment. Investment ni ya private sector they are ones putting their money kwenye LNG sio serikali.
 
Actually Tazania is more than that! Kumbuka kuna central Narrow gauge Railway (Dar-Kigoma 1254 km, Tabora-Mwanza 378 km, Dar-Tanga-Moshi-Arusha 436 km, Mpanda-Kaliua 210km), Cape Gauge Railway (Dar-Mbeya-Tunduma 969 km) na U/C Standard Gauge Railway (Dar-Mwanza + Tabora-Kigoma over 2000km)! We should be number 3 or 4!
Kweli kabisa
 
Hata JNHPP ikikamilika shida ya kunganisha umeme itakuwa pale pale maana hakuna competition utake usitake lazima uwaone tanesco uwapigie magoti ndio upate umeme kwasababu hawako business minded wao shirika likipata hasara haiwahusu mishahara yao iko pale pale ndio maana tuna low customer connection rate.
Halafu JNHPP haiwezi kufanya kazi bila improved transmission imagine una 2115MW lakini transmission iko weak ya low capacity 66kv, 132kv a few 400kv how do you expect to haul electricity from JNHPP with such infrastructure
wacha kutujaza ujinga tembelea Ukunyani uone kitu kilivyo-fail! Usiwe mbumbumbu wa kuiga! angalia circumstances zako-split into three entities means 3 CEOs and all the managers!
 
How can you build a 30B terminal to handle 700M worth of natural gas? Wacha kufikiria kwa mkvndu malenge hii.🤣
Kumbe humu ndani tunabishana na machizi 700M kweli hii ndio value ya Tanzania LNG? Yani hata Rostam angeweza kuwekeza kama value ingekuwa hivyo this is Tanzania my friend the giant of East Africa.
 
wacha kutujaza ujinga tembelea Ukunyani uone kitu kilivyo-fail! Usiwe mbumbumbu wa kuiga! angalia circumstances zako!
Hivi do you really think Kenyans can do anything thst works hata uwape nini wanelaaniwa wale. Kenya is not a good example to us they put forward greed and corruption ndio maana things did nor work but ikiwa well managed and regulated things will work.
 
si lazma kuiga upumbavu! Management costs lazma ziwe lower! Peleka huko hiyo idea!
 
wacha kutujaza ujinga tembelea Ukunyani uone kitu kilivyo-fail! Usiwe mbumbumbu wa kuiga! angalia circumstances zako-split into three entities means 3 CEOs and all the managers!
Circumstances ndio hizo nilizozisema hapo mwanzo Tanesco is not pro business entity bado mentality yao iko kwenye provision ya services kama charity because the government is behind them to backup whenever needed, pili infrastructure za kusambaza umeme ziko weak na unreliable, tatu ugavi wa huduma kwao sio kipaumbele.

Tukiendelea hivi tutakuwa tunavunja bodi kila siku na kubadilisha viongozi wa shirika kila siku.
 
56.1KWH

Cost 16,393.45
VAT 18% 2950.81
EWURA 1% 163.93
REA 3% 491.81
TOTAL 20,000.00

👆 mkuu angalia dhahama hilo,bado elfu 4 ni nyingi sana kwa kwa mwananchi wa kawaida
Hata vat ilitakiwa iondolewe au ipunguzwe kwasababu ni biashara ya serekali i mean umma, haya leo ewura inafanya nn kwenye makato ya umeme?? Even REA inafanya nn kwenye makato ya umeme kuna vitu vingi sana haviko sawa kwenye hili
 
Hapo bado ukikata kwa mara ya kwanza ya mwezi wanakata na kodi ya jengo!
 
Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.

Tanesco nzima, mtu tukaemkumbusha aliekuwa na maono ya kutuondolea shida ndan ya miaka michache ijao licha ya upinzan uliokuwepo kutoka ndan na nje ya nchi ni Magu.. JNHPP.. huu mradi ni ukombozi mkubwa, (na kutuondolea zile kampuni au mikataba uchwara za kiufisadi). Kwa zile zogo za watu wa nje au eti kulinda democracy ya uchumi, mama angesurrender asubuh na mapema.

Hapa bado sijazungumzia suala la kutaka kujenga hydropower plants (kampuni za nje hazitii miguu yao humu) nyingi kuliko au kustopisha gas power plants (humu vikampuni uchwara vya nje ndo huwa zinafaidika sana)
Sema nini mkuu kwenye hili suala private sector inaitajika ata wewe ukiangalia hamna shirika ata moja la serikali linalofanya kazi ya kuridhisha yote ni hasara tuu , hata hii sgr tunayotambia wasiwasi wangu mkubwa ni uendeshaji tuu, hata wewe nikikuuliza nitajie shirika hata moja la serikali linalofanya vizuri utakosa majibu sio kwa serikali hii ya ccm eti mkurugenzi akizingua shirika fulani unambadilishia kitengo ili hasipoteze kazi hatuwezi kufika aisee
 
MY TAKE
Ukunya ni tabia investment in Kunyaland is over $2 bln yet no breakdown on that figure and Taifa gas the largest single investment since Kenya's independence is nowhere to be mentioned in Ukunya's figures! Meanwhile it is known all over that 60% of EACOP's $5 bln for construction is to be spent in Tanzania! Ati Kengen is to invest in Tanzania's geothermal, with what capital?
 
Hivi nyie hamna vitu vingine vya kupost zaidi ya vipicha vya majengo. Maana hata sioni kwenye hizo picha kuna nini cha ajabu.
Hapo ni kilimani, Nairobi yote kuna high-rise apartment construction boom 🏗️ 💥💥💥 that's the biggest thing happening now 🕺
 
Back
Top Bottom