Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Siku Wabongo watapata ujasiri wa kuandamana 90% ya barabara zitafungwa hapo bongo.
na kwann tuandamane wkt tunapata mahitaji yote muhimu. Andamaneni nyie inatosha, mna represent EA sio mbaya, ila sisi hatutaandamana kamwe labda ifike time tunakosa chakula kama nyie kitu ambacho hakitaweza kutokea kamwe, Tanzania ni nchi iliyoumbwa nyie vinchi vyenu viliongezewa ili kukamilisha ratiba.
 
Your projects over 10 years ni $20B za kulipia alafu mjenge moja ya $30B? Acheni ufala.
Kuhusu hii project ya $30B, kweli ipo. Ni Magufuli ndiye aliyekuwa akiwawekea kauzibe Exxon na Shell hadi baadhi ya congressmen walilalamika.

Soko la LNG ni kubwa sana hasa baada ya EU kuachana na gesi ya Urusi. Ila kwa Tanzania kufaidika na hii project ukiachana watu wachache, si dhani.
 
Tanesco needs to be unbundled into production, transmission and distribution ili kuleta ushindani na affordable rates. Huu mchakato ulishaanza Magu akapiga stop kama nakumbuka vizuri.
Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.

Tanesco nzima, mtu tukaemkumbusha aliekuwa na maono ya kutuondolea shida ndan ya miaka michache ijao licha ya upinzan uliokuwepo kutoka ndan na nje ya nchi ni Magu.. JNHPP.. huu mradi ni ukombozi mkubwa, (na kutuondolea zile kampuni au mikataba uchwara za kiufisadi). Kwa zile zogo za watu wa nje au eti kulinda democracy ya uchumi, mama angesurrender asubuh na mapema.

Hapa bado sijazungumzia suala la kutaka kujenga hydropower plants (kampuni za nje hazitii miguu yao humu) nyingi kuliko au kustopisha gas power plants (humu vikampuni uchwara vya nje ndo huwa zinafaidika sana)
 
Watu wana-bore humu ndani yaani tumetoka ku-merge institutions wengine wana-propose tu-split!
 
Pia TANESCO linatakiwa liendeshwe kiufundi zaidi na sio kisiasa. Mama.e yule aliesema ndani ya miaka 5 iliyopita hatukuwa tunafanya maintenance alaaniwe milele yeye na wajukuu zake wote.
Haya, baada ya kusema hivyo.. wamefanya maintenance anazojua yeye, saiz yuko wapi?😄
 
1703163264164.jpg
20231210_230805.jpg
20231210_230733.jpg
20231210_230754.jpg
 
Acheni mkumbo. Shida ya tanesco haipo hivyo, afu huko ni kuongeza matumizi yasiyokuwa na ulazima. Wakenya wenyewe wameligawa shirika lao hizo sehem tatu lkn wana shida zaidi yetu.

Tanesco nzima, mtu tukaemkumbusha aliekuwa na maono ya kutuondolea shida ndan ya miaka michache ijao licha ya upinzan uliokuwepo kutoka ndan na nje ya nchi ni Magu.. JNHPP.. huu mradi ni ukombozi mkubwa, (na kutuondolea zile kampuni au mikataba uchwara za kiufisadi). Kwa zile zogo za watu wa nje au eti kulinda democracy ya uchumi, mama angesurrender asubuh na mapema.

Hapa bado sijazungumzia suala la kutaka kujenga hydropower plants (kampuni za nje hazitii miguu yao humu) nyingi kuliko au kustopisha gas power plants (humu vikampuni uchwara vya nje ndo huwa zinafaidika sana)
Tembea duniani uone mashirika ya umeme yanavyo operate ndio utajua kuwa huu mfumo wa Tanesco haufai hata kidogo. Umeme upo kila sehemu lakini gharama za kunganisha ni kubwa people cant afford pia neglect ya transmission ndio chanzo kikubwa cha ufanisi mdogo umeme mwingi unapotea kwenye transmission.
Unapo unbundled not necessarily production na transmission wachukue private sector bali kwenye distribution tunaweza tuka invite private sector na Tanesco wawepo pia ili kuleta ushindani wakawa wanagombania wateja kwa kuprovide low tarrifs na hata kufungiwa umeme bure.
 
Keep fooling yourselfs. Your yearly budget is just 18B USD alafu mnaaminishwa mtajenga terminal ya 30B na mnashangilia? No wonder you are so full of yourselves.
Kama ni 10B USD mbona SGR Iko 10+B USD na bado kuna miradi mingine inafukuzia karibu ya hapo, Total 20+USD Billion, inakuaje hapo?
 
Watu wana-bore humu ndani yaani tumetoka ku-merge institutions wengine wana-propose tu-split!
Huo ndio mfumo unaotumika duniani kote ukaya America na asia na umeleta ufanisi mkubwa sana kwenye masuala ya umeme. Wewe unafikiri kwanini mpaka leo matumizi ya umeme hayakui Tanzania? Kila siku tulo kwenye 1400MW sababu mteja ndio amfate ranesco kuomba umeme na hongo atoe nacsia distributor kufata mteja na kumshawishi amuunganishie umeme.
 
PSPF twin towers were completed in 2014. They were the first buildings over 100m in Tanzania. Blame your lack of information for your tirades, not me.
Okay Okay okay, tumekubaliii, sawa imekuaje sasa tulipotoka hapo tukaja FIRST BRT, FIRST CABLE STAYED BRIDGE, FIRST ELECTRIC SGR, FIRST 2 GIGAWATT DAM, FIRST AIRLINE WITH CASH PURCHASED PLANE, FIRST GOVERNMENT CITY, FIRST LONGEST PIPELINE.

Uone aibu sasa maana tuliwadaka alafu tukawatimulia vumbi, na hapo tulivyofanya first huko Ukunyani mtavipata miaka 100 vingine vinaweza visiwezekane kabisa.
 
Back
Top Bottom