Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 72,907
- 103,771
gharama ya hizo boats kuna kitu hakiko sawa!
gharama ya hizo boats kuna kitu hakiko sawa!
hakuna uwanja watajenga niamini mm, haya mashindano tutaandaa wenyewe.Waangalie isije ikapita hv..😂😂😂
Rai yng ni kwamba uwanja mpya wa Arusha na Dodoma usiwe na running track, tuungane kupiga kelele tuwatag tff na wizara vile viwanja viwe vya soccer pekee.Amani stadium View attachment 2850477View attachment 2850478.Cc The best 007. Cheki maneno hayo mzee baba.
mkuu JNHPP ni 2115MW na sio 2110MwHamuna chochote tunachofanya ambacho mlishawahi kufanya. We kima, kubali ukweli move on..
1. electric SGR 2500+ km
2. BRT 6 phases 200+km
3. New Msalato international airport, Mwanza international airport
4. New JNHP dam 2110MW
5. New DODOMA gvt city
6. New cable stayed bridges eg Busisi bridge 3.2km
7. Rehabilitation of football stadias to meet international standards (FIFA standards)
Sipo hapa kutaja vi miradi vidogo vidogo vya nyumba mimi..
He mmeshawahi kufanya kipi kati ya hivyo hapo juu.? 🤣🤣
wamepagawa hao achana nao. mtu anaona viti jinsi vilivyopangwa vzr na bado anauliza watu wanakaa vipi, mwambie wanakaa kama wanavyokaa bukhungu international stadium 🤣🤣🤣🤣Sikuelewi unaulizia kuhusu nini.
Yes anasema Kila siku kuna Meli 30-40mchina anasema Dar port imeipiku Mombasa port!
3.00 01/03 kCu:/ X@m.qE 达累斯萨拉姆港口每天都有三四十艘货轮在排队等候进港卸船,坦桑尼亚达港已经超越肯尼亚的蒙巴沙港,成为东非地区最大港口。# 非洲 # 坦桑尼亚 # 港口码头 # 一带一路 https://v.douyin.com/i89bMkun/ 复制此链接,打开Dou音搜索,直接观看视频!
Naombea Rais Mwinyi awe na maono ya kurekebisha kile kingine kule Pemba, sijui wanaita gombe sijui nnAmani stadium View attachment 2850477View attachment 2850478.Cc The best 007. Cheki maneno hayo mzee baba.
Bonge la stadium,nasikia Yanga watapeleka match zao caf cl hapo baada ya lupaso kufungiwa kwa ajili ya ukarabatiAmani stadium View attachment 2850477View attachment 2850478.Cc The best 007. Cheki maneno hayo mzee baba.
Gombani stadiumNaombea Rais Mwinyi awe na maono ya kurekebisha kile kingine kule Pemba, sijui wanaita gombe sijui nn
Kwa ambao hawaelewi kichina, wanaoona mauzauza
Kuna watu watakufa kwa kihoro!
Ndani ya slum?Amani stadium View attachment 2850477View attachment 2850478.Cc The best 007. Cheki maneno hayo mzee baba.
Ni ramsi sasa marekebisho ya uwanja wa Mkapa na Uhuru yameanza tukutane October 👇
View: https://www.instagram.com/p/C1KRJ4WiY2V/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==.