Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

When you see any type of Bus in Tanzania, know it was in Kenya first or it was built in Kenya, Master, Banbros, AV, LHBS
Screenshot_2023-12-21-22-15-32-44_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
Screenshot_2023-12-17-07-00-26-70_40deb401b9ffe8e1df2f1cc5ba480b12.jpg
IMG20231216121147.jpg
img_1_1702632219485.jpg
img_1_1702547452515.jpg
IMG20231206161644.jpg
 
Ni ramsi sasa marekebisho ya uwanja wa Mkapa na Uhuru yameanza tukutane October 👇
View: https://www.instagram.com/p/C1KRJ4WiY2V/?igsh=MTc4MmM1YmI2Ng==.

Safi sana, mm nilikuwa nashangaa sana, kwann uwanja wa uhuru haurekebishwi? Wakati unahitaji marekebisho kimtindo ili kuwa bora kama vingine? Yani apo roho yangu sasa imefurahi, haki ya mama hii nchi ina pesa, licha ya maujenzi kibao yanayoendelea lkn bado tunamudu kufanya mambo mengine makubwa.

Wakenya tafuteni level yenu mapema, sisi sio level yenu kabisaaa, by 2024 tutakuwa na viwanja 6 approved, Mkapa, Uhuru, Amani, Azam, Arusha, Dodoma. Baada ya hapo kabla ya 2027 viwanja vingine vitakuwa vimesharekeshwa mfano jamuhuri Morogoro, jamuhuri Dodoma n.k

So, by 2027 tutakuwa na zaidi ya viwanja 10 bora kabisa, wakenya wanashangaa mbona tumepaa ghafla namna hii na wala hatusemi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kwani talanta hawajaanza bado kuchimba hata msingi😅
 
Wewe acha, vitu mnafanya tulishafanya. Halafu mengi mazuri yaja

View: https://youtu.be/RJvbUXbagvQ?si=Hob_AjL3T8XX-oFO

Hamuna chochote tunachofanya ambacho mlishawahi kufanya. We kima, kubali ukweli move on..

1. electric SGR 2500+ km
2. BRT 6 phases 200+km
3. New Msalato international airport, Mwanza international airport
4. New JNHP dam 2110MW
5. New DODOMA gvt city
6. New cable stayed bridges eg Busisi bridge 3.2km
7. Rehabilitation of football stadias to meet international standards (FIFA standards)

Sipo hapa kutaja vi miradi vidogo vidogo vya nyumba mimi..

He mmeshawahi kufanya kipi kati ya hivyo hapo juu.? 🤣🤣
 
Back
Top Bottom