Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Hii ni BRT phase 3?Mzigo wa mabomba ya EACOP ni mrefu kweli kweli check ujazo huo.
View attachment 2843271
View attachment 2843269
View attachment 2843270
View attachment 2843272
Hii ni BRT phase 3?Mzigo wa mabomba ya EACOP ni mrefu kweli kweli check ujazo huo.
View attachment 2843271
View attachment 2843269
View attachment 2843270
View attachment 2843272
For sure mateso yataanza kwa wakenyansiJoka amefika... Space ikipatikana atashuka..
Wiki ijayo Kati Kati inshaallah mambo yatakuwa hadharani.
Kwa nguvu ile siyo bure, MK254 atakuwa alipata kibarua cha kueneza propaganda.wanaumia sana hata jukwaa lenyewe naona wamebakia watatu yle bwana MK254 siku hizi anashinda international kule huku hana hamu napo.
Yes,Nyerere RoadHii ni BRT phase 3?
So it's now about which hospital did it? What a joke! Nyinyi mtaendelea kusoma number yetu mileleTuonyeshe hapo kwenye Hospital yenu ya Taifa mkifanya hivyo.
FIFA Women ranking sio wanaume.Mim ni mdau wa mpira. Hii taarifa si kweli
Ukweli ni kunyaland wapo 110, Tanzania tupo 121 (tumeimprove)
View attachment 2843594
Just because there are a few carpeted roads doesn't change the fact that barabara za vumbi zipoWenzako wanaona barabara za vumbi oysterbay 😁
Bora uwaonyeshe uhalisia.
Agakhan ni National hospital hapo ukunyani.?So it's now about which hospital did it? What a joke! Nyinyi mtaendelea kusoma number yetu milele
Does that change the fact that Kenya was the first country to perform that procedure in East and Central Africa eight years ago?Agakhan ni National hospital hapo ukunyani.?
We mpumbavu wacha kuokota okota picha google.. hakuna mitaa ya hivyo within Oster bay. Hakuna hata barabara moja enye haina lami.. muulize huyo ndugu yako alifika akajionea kwa machoJust because there are a few carpeted roads doesn't change the fact that barabara za vumbi zipoView attachment 2843620View attachment 2843621
Kwani ranking ya soccer la kike na kiume huwa ni moja?Mim ni mdau wa mpira. Hii taarifa si kweli
Ukweli ni kunyaland wapo 110, Tanzania tupo 121 (tumeimprove)
View attachment 2843594
Underpass kufikia opposite platformsAlafu wajue umo ndani kuna njia ya chini kwa chini kutokeza kwenye canopy yetu upande wa pili
Kujifariji si mbayaWe mpumbavu wacha kuokota okota picha google.. hakuna mitaa ya hivyo within Oster bay. Hakuna hata barabara moja enye haina lami.. muulize huyo ndugu yako alifika akajionea kwa macho
Kwanini tupigizane kelele tumia google earth mjofombaKujifariji si mbaya
Mchina aliwapiga na kitu kizito mno kunyan,kawapiga kibruce lee kwenye sgr station,akaja kuwapiga kijet li kwenye vichwa vya treni akawapatia vilivyotumika kipindi cha hitler huko escape from sobibo,akaja kuwakomesha kwenye express way akawapigia shaolin temple la haja 😂Stations zetu zina akisi mazingira husika ila za wenzetu zina akisi mazingira ya Shaolin temples 🤣🤣🤣
Kumbe hao wachezaji wa kenya ni wadada, nilijua ni wakaka 🥱Kwani ranking ya soccer la kike na kiume huwa ni moja?
So leo all of a sudden mumekuwa wafuasi wa Google Earth wakati kila siku picha za Google Earth za Dar tunaweka humu na mnazikana?Kwanini tupigizane kelele tumia google earth mjofomba
Parachichi na vitunguu na mahindi wapigwe stop kununua,tusage wenyewe wao tuwauzie ungaTukimalizana na chai tuhamie kwenye bidhaa nyingine viko vingi home sweet home hii lazima wajue.
Mjomba unazungumzia kuhusu nini.? Nimekwambia hakuna barabara za matope kabisa in Oster bay. Muulize IamLee yeye alifika akaona kwa machoSo leo all of a sudden mumekuwa wafuasi wa Google Earth wakati kila siku picha za Google Earth za Dar tunaweka humu na mnazikana?
Mwanzoni mi nilifikiri TRC walikuwa na mpango wa kuipeleka reli mpaka Bukoba ili kuwachombeza Uganda, maana kuna soko la Sudani ya kusini na pia.Mama inabidi aongee na Museveni vizuri maana hata SGR tuna nafasi kubwa kuwabadili Uganda mawazo! Yaani inapaswa yetu ifike Mpakani mwa Uganda na Tanzania pale Mutukula and the rest will set itself and be history!