The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Lilikuwa ni suala la muda tu, niliwaambia humu mara kibao kama rankings zikitoka atakayeiweka Kenya au Uganda mbele ya Tanzania atakuwa kichaa, nafikiri now tunaelewana.
sio poa mkuu watu wanajinyea uko kiberaninism
Mama inabidi aongee na Museveni vizuri maana hata SGR tuna nafasi kubwa kuwabadili Uganda mawazo! Yaani inapaswa yetu ifike Mpakani mwa Uganda na Tanzania pale Mutukula and the rest will set itself and be history!ninaisubiri yani wamepigwa na kitu kizito nchi nzima wanafeel ganzi. Huyu mzee atakuwa kasanuka mengi sana na wengi watajirudi nakujiangalia mara mbili kwa namna walivyowachukulia jamaa wana roho mbaya sana.
Hivi vile vi comments vyao vya kujificha nyuma ya kichaka cha FIFA bado viko valid?Jirani mbaya muombee njaa😎😎
Mpaka hapo tumeshawapiga bao Uganda kachagua Yapi Merkez na anaweka mfumo wa train control wa ulaya ETCS ambao ni compatible na Tz pia Uganda ali delay rail yake ili aone nani yuko serious kati ya Tz na Kenya na nadhani wameshapata majibu tayari mfumo upi wa rail ni wa kisasa zaidiMama inabidi aongee na Museveni vizuri maana hata SGR tuna nafasi kubwa kuwabadili Uganda mawazo! Yaani inapaswa yetu ifike Mpakani mwa Uganda na Tanzania and the rest will be history!
Wakunya wanakodoa macho tuu tunavyokimbia kwenye sekta ya Afya
View: https://www.instagram.com/p/C0356xHs4p2/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Hili Jiji kila mahali ni construction site watajua hawajui 😁
Joka alifiki tu na yale mabehewa yetu
Joka sio January jamani maana December hii najua ni loco 3 za umeme 😁Joka amefika... Space ikipatikana atashuka..
Wiki ijayo Kati Kati inshaallah mambo yatakuwa hadharani.