Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waiyaki Way
1702658274647.jpg
 
IamLee is just being a Kenyan. Hakuna kutafuta kuponda jirani.
Just being true. Huwa tunasema Mkenya Mtrue. Tofauti na Mtanzania akija Kenya akatokea Kibera ili kuwafariji wenzake. Watanzania mmetetemeka maanake naona hapa jamaa angetaka kuponda mngelia wallahi!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
This is so True, sijaenda mission ya kutafuta loopholes cause hey, even in New York utazipata tu.
 
Sio kwamba hakutaka kuponda bali kakosa picha za kuponda, IamLee sio mkenya wa kwanza kuja Bongo na kukosa picha za kuponda, huu uzi ni kwa ajili ya kuonesha kipi kipo huku na huku hakipo, ilifika kipindi kuna mkenya aliahidi kutuma mtu apige picha za hovyo bongo amtumie ili yeye apost huku lkn alikosa hizo picha. Ukweli ni kwamba Bongo yapo maeneo ya hovyo lkn si kwa level za Nairobi na miji mingine ya kiafrika.
Singependa kupost sura mbaya ya Dar just to prove a point, wewe unajua vizuri yale challenges ambayo yapo mjini, sio ati nilikosa. But if you asked me, you guys are trying to do some constructions which is impressive in any African country, like the BRT construction on the JK Nyerere Road. Those kinds of constructions which we had back in the day also now we have better roads. Like in Thika rd or Msa rd and even the expressway
 
Wewe mpumbavu! Ushafika Ghana ama Rwanda or SA?
Source "InsideMonkey". Mwenye account ana weka stats za hovyo ili wajinga mjae kwenye post yake na kubishana jambo linalomfanya yeye kutengeneza hela nyingi.

Usipost upumbavu!
Wahi Mirembe hospital kabla ya ugonjwa Wako wa akili haujafikia kiwango Cha kuwa uncontrolled.
 
Yani vitu Kenya ilifanya eight years ago nyinyi ndio mnafanikiwa kufanya in 2023 alafu unakuja kutupigia kelele hapa!😂😂😂
Tuonyeshe hapo kwenye Hospital yenu ya Taifa mkifanya hivyo.
 
Singependa kupost sura mbaya ya Dar just to prove a point, wewe unajua vizuri yale challenges ambayo yapo mjini, sio ati nilikosa. But if you asked me, you guys are trying to do some constructions which is impressive in any African country, like the BRT construction on the JK Nyerere Road. Those kinds of constructions which we had back in the day also now we have better roads. Like in Thika rd or Msa rd and even the expressway
Wewe mpuuzi hamjawahi kuwa na BRT usijichanganye mzee, mingi Kati ya barabara zenu ni basic tu hazina maajabu, tunachofanya sisi sasahivi ni kitu kipya kabisa in this region. Imagine we are changing all our major roads to add them with BRT lanes. Ukumbuke BRT si tu barabara, BRT ni barabara, vituo vya kupandia+ specific buses, so in the near future we gon have the blue buses in the whole city of DAR. Ulikosa cha kukosoa mzee kubali ukweli then kaa kimya.
 
Huyo nyang'au hataki kukubali licha ya kujionea kwa macho yake😎
 
Back
Top Bottom