Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mzigo wa mabomba ya EACOP ni mrefu kweli kweli check ujazo huo.

IMG_2771.jpeg

IMG_2771.jpeg

IMG_2776.jpeg

IMG_2773.jpeg
 
Watatuambia vzr chai walikuwa wanatoa wapi, hii nchi imeilisha sn Kenya pumbavu hawa, mapato mengi yanayotokana na mazao kule Kenya ni matokeo ya wakulima wa Tz.
Umu ndani nilikwisha sema kwa generation iliyopo na inayokuja apa tz wakenya watapata tabu sana watu saivi vichwa vimefunguka akuna wa kumpoteza
 
naona hata nikipita nakuta ni picha gezaulole kaapdate na wengine ila kule mguu wamekata huku nawapa siku joka limeshuka kama utamwona mtu.
Unakumbuka hiyo quote ya Museveni niliahidi nitaitoa kauli yake ya kuanza mradi dhidi ya Kenya kuamua ku-boycott EACOP baada ya maamuzi ya kupita TZ ikitimia? Inaelekea siku si nyingi nitaitoa!
 
Unakumbuka hiyo quote ya Museveni niliahidi nitaitoa kauli yake ya kuanza mradi dhidi ya Kenya kuamua ku-boycott EACOP baada ya maamuzi ya kupita TZ ikitimia? Inaelekea siku si nyingi nitaitoa!
ninaisubiri yani wamepigwa na kitu kizito nchi nzima wanafeel ganzi. Huyu mzee atakuwa kasanuka mengi sana na wengi watajirudi nakujiangalia mara mbili kwa namna walivyowachukulia jamaa wana roho mbaya sana.
 
Back
Top Bottom