Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii hapana yaani tutakuja kupigana miti sana kama hawa northerners 😜
Kwa nini? No way out growth rate ya Tanzania imekuwa wastani wa 3.2% na kumbuka ni exponential growth japo hapo Kuna chumvi pia.
Hii projection ya 2100, imekuwepo muda sasa. Na ukiangalia toka 2000 mpaka 2023 utaona teyari tumesha double population yetu, kutoka 34mil mpaka 68mil (kumbuka kwa sasa, 70% ya pupulation yetu ni chini ya miaka 30).

Hivyo mpaka mwaka 2100 tutakuwa tume double population (roughly) mara nne, sasa ukituondoa sisi, na wengine watakao zaliwa na kufa kabla ya 2100, ndo unapata hilo kadirio la 244mil
 
Endeleeni kupigana miti ,mtatusaidia sana sisi ambao tuko kwenye farming enterprises kuwa millionaires miaka michache ijayo.🔥🔥
 
Back
Top Bottom