Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunataka kuona serikali yenu imefanya nini kwenye hospitali za umma?
Sio wananchi wote wanaweza waka afford matibabu Agakhan
TAVI is an expensive procedure even in government hospitals. Usidanganywe na mtu
 
Hujui kitu,hujiulizi Kwa nini Wanajeshi Huwa ni Wanachama wa ccm?
Me mwenyewe ni mjeda tena "jey wii" kabisa na sina kadi ya uchafu unaoitwa CCM,Ngoja nikurudishe nyuma kidogo

Miaka ya Nyerere ndio Wajeda na waajiriwA wote wa umma walilazimishwa kuwa wanachama wa ccm,kwa kubeba kadi ya Chama ilikuwa kama NIDA kwa sasa..........Punguza ujinga mzee
 
kinachotokea Kenya was leading in service povision sector in the region! Saahii kuna Air Tanzania, Uganda airlines na Rwandair yaani ni maumivu na yatazidi pale Air Tanzania itaanza kwenda Europe na US! Tukija kwenye port services the same! Tanzanian ports r continuing to chip in Kenya's dominance! Mimi nangoja SGR to Mwanza na cargo ferries in Lake Victoria ziishe halafu tuone kabla ya line ya Kigoma na Burundi kukamilika! Dominance in oil products supply around the region ndo hivyo Uganda imekuja Tanzania na inajenga EACOP kutoka Hoima kwenda Tanga. Yaani ni maumivu juu ya maumivu! Kwenye utalii tushapindua meza siku nyingiii.....!!!

mpumbavu wa ukoo wa Sadima alias mwai sadima Dickson mwaiofhawaii njoo huku
Hata mafuta yao hao nyangau yatapitia Tanga. Ni rahisi kupeleka bomba toka Turkana mpaka hoima kuliko kupeleka Lamu. Besides wawekezaji wenyewe kwenye blocks za Turkana wanataka mafuta yao yapitie kwenye EACOP. Kazi ipo hapo nyangau lazima anyoroke 🤣🤣🤣🤣
 
hahah umesoma hiyo kwenye article? Hawana namna hata Nicxie na Teargas wanajua pipeline ni moja tu for all EAC member states! Na nilishawaambiaga hii maneno kitamboo kwamba South Sudan, DRC na mwisho wao watakuja tu!
To add insult to injury, Total, which operates at blocks 10BB and 13T in Turkana (500 million recoverable barrels), has suggested that Kenya should forego its own pipeline and instead link its oil to the EACOP (Africa Intelligence, 2020). Nairobi, given Kampala's actions, has little wish to see Museveni's dream come closer to fulfilment by piping its own oil through Uganda via the Total-funded EACOP.

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Me mwenyewe ni mjeda tena "jey wii" kabisa na sina kadi ya uchafu unaoitwa CCM,Ngoja nikurudishe nyuma kidogo

Miaka ya Nyerere ndio Wajeda na waajiriwA wote wa umma walilazimishwa kuwa wanachama wa ccm,kwa kubeba kadi ya Chama ilikuwa kama NIDA kwa sasa..........Punguza ujinga mzee
Lazima uufyate ila ukijifanya Chadema utapotea
 
hahah umesoma hiyo kwenye article? Hawana namna hata Nicxie na Teargas wanajua pipeline ni moja tu for all EAC member states! Na nilishawaambiaga hii maneno kitamboo kwamba South Sudan, DRC na mwisho wao watakuja tu!

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Hiyo itawauma sana sisi kupata mgao toka katika mafuta yao 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom