much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 14,061
- 21,578
Niliwauliza wakenya GDP ya nchi yao inaweza miradi ya zaidi ya dollar za kimarekani billion 10 kwa pamoja?
Mr Canopy Teargas njoo uone canopy ilivyotokea
View: https://youtu.be/7g8eC9wDIuc?si=_HLRzTaJkmrgHYOG
Stations zetu zina akisi mazingira husika ila za wenzetu zina akisi mazingira ya Shaolin temples 🤣🤣🤣Nakumbuka walivyoona hii render 👇View attachment 2842992na kipindi kituo kinaanza ujenzi, walisema hatutoweza kujenga kitu kama hicho. Kumbe Tz hatujawahi kukosea ..
Hii nchi imeshakua kituko hakuna taifa linalojielewa linataka ukaribu nao
View: https://twitter.com/citizentvkenya/status/1734992838213943798?t=bvablNQXU13pr0qV6mIM9A&s=19
We nawe huishi kwenye ndoto!?Magari ya kindezi hayo hata ma DC au wakurugenzi hawawezi tumia huku Tz
Hivi Kuna idara Haina vitendea kazi Kwa Sasa?
View: https://www.instagram.com/p/C0wOCTGNqmC/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Huo ndio ukweli na hali halisi iliyopo huku ulitaka niseme uongo?We nawe huishi kwenye ndoto!?
Mr Canopy Teargas njoo uone canopy ilivyotokea... 😆 😆 😆 👇 👇 👇 👇
View: https://youtu.be/7g8eC9wDIuc?si=_HLRzTaJkmrgHYOG
Canopy iko JKIA 🤣🤣🤣Waliwaambia canopy mkapinga sasa hii nini!?
View attachment 2843010
Kiingereza kinakupiga chenga! That's a train shed !! Ukunya hauna hii kitu!Hii hapana yaani tutakuja kupigana miti sana kama hawa northerners 😜