Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Tangu nizaliwe sijawahi kuskia popote pale in Tz eti umeme umekatika wiki nzima. 🤣🤣🤣 Jamaa hayo maneno wanapata wapi aisee.?🤣🤣🤣🤣.Aliposena Tz umeme unakatika wiki nzima tena kwa msisitizo anafahamu na ni kawaida ndo nikaona hapa either tunabishana na wendawazimu au watu ambao wamepewa simulizi nyingi sana za ki Juha tangu wanakua😅