The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,616
- 98,847
Sio kwamba hakutaka kuponda bali kakosa picha za kuponda, IamLee sio mkenya wa kwanza kuja Bongo na kukosa picha za kuponda, huu uzi ni kwa ajili ya kuonesha kipi kipo huku na huku hakipo, ilifika kipindi kuna mkenya aliahidi kutuma mtu apige picha za hovyo bongo amtumie ili yeye apost huku lkn alikosa hizo picha. Ukweli ni kwamba Bongo yapo maeneo ya hovyo lkn si kwa level za Nairobi na miji mingine ya kiafrika.IamLee is just being a Kenyan. Hakuna kutafuta kuponda jirani.
Just being true. Huwa tunasema Mkenya Mtrue. Tofauti na Mtanzania akija Kenya akatokea Kibera ili kuwafariji wenzake. Watanzania mmetetemeka maanake naona hapa jamaa angetaka kuponda mngelia wallahi!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣