chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,673
- 45,902
Mbona Bomba la EACOP la $5b hamlitaji? Investment kwa upande wa Tanzania ambapo ndio 70% ya project nzima sio chini ya $3b
Najua hujaridhika na mtazamo wa mwenzako, we kuwa Patriot kama ambavyo mnahamasishana huko kwenu.IamLee is just being a Kenyan. Hakuna kutafuta kuponda jirani.
Just being true. Huwa tunasema Mkenya Mtrue. Tofauti na Mtanzania akija Kenya akatokea Kibera ili kuwafariji wenzake. Watanzania mmetetemeka maanake naona hapa jamaa angetaka kuponda mngelia wallahi!! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
And please usisahau kuwaambia fellow Kenyans ukweli Dar es Salaam City construction projects is everywhere karibu tena 2026, jitahidi uje mwezi wa June, July, August, wkt huo hakuna joto kbs, bebe kali, vibe kali wana hawana noma ni bata tu bila kwere!Sisi ndo waTZ tunaoelewa nini maana ya kuishi.JNIA terminal 3 mmejaribu
But let’s be honest, JKIA hands down is way more massive and sophisticated, no hate to JNIA… i was in Kampala last week and it’s tiny but they are constructing a massive terminal also
JNIA
View attachment 2842121
Landing at JNIA
View attachment 2842122
Terminal 2 JNIA
View attachment 2842140
View attachment 2842126
Sorry i did not take photos of the airport well
This is EBB
Intl Departures
You can see it is significantly small
View attachment 2842125
Leta news aibu nini sasa umeshindwaaibu*
Yoyote hutumika Kwa vitu. Mfano: chagua habari yoyote unayoipenda kwenye hili jukwaa.Kuna mkenya mwenye anaweza nielezea tofauti ya haya maneno mawili.?
1.Yoyote
2.yeyote
Kenyans, what is the difference between these two words.?
Cc Teargas Kimbg Nicxie mwaiofhawaii .
Umejaribu 👏Yoyote hutumika Kwa vitu. Mfano: chagua habari yoyote unayoipenda kwenye hili jukwaa.
Yeyote inatumika kwa wanaadamu.
Mfano:Mtu yeyote anaweza barikiwa na Mungu kwa wakati wake.
Natamani nimekujibu ipasavyo
Sio natamani bali natumaini.😎...Natamani nimekujibu ipasavyo
Nioneshe majengo marefu kama hayo ya Kizingo popote Mwanza tuone. Over 20 floorsWe jamaa sidhani kama ni timamu wewe,, 🤣🤣🤣 sasa kwenye hii mitaa kuna nini cha ajabu chenye unahisi Mwanza hakipo.? 👇View attachment 2842487kando ya hilo jengo moja refu, unahisi nini cha ajabu umeona hapo.?🤣🤣🤣
Sawa ticha konde 😁 😁 🤣 🤣Sio natamani bali natumaini.
I am not a native Swahili speaker. Usitajarie Kiswahili mufti kutoka kwangu.Sio natamani bali natumaini.
Chutama tu; sio kujifanya eti wewe ni mzungu. Acha ushamba😎I am not a native Swahili speaker...
Back to basics,...
Foreign investments in Mombasa? Wewe kima wa Mwanza unafaa kujua kwamba Mwanza haina nguvu ya kupambana na Mombasa Kwa lolote. Kama IPO litaje tujue na tulijadiliRare photos of Mwanza City. 👇View attachment 2842502View attachment 2842503View attachment 2842505View attachment 2842507View attachment 2842508View attachment 2842510View attachment 2842511wewe kima Nicxie njoo hapa ujifunze Mwanza mpuuzi wewe. Hizo ni view za zamani a lot have been changed in the city recently. Hii Mwanza ni capital city of lake zone, huu sio mji wa wavivu na vilaza kama mombosa wala hatungojei foreign investments we mbuzi