Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,129
- 17,860
Nani amekasirika? Ameuliza swali nikampa jibuHuu mchezo hautaki hasira.😎😎
Nani amekasirika? Ameuliza swali nikampa jibuHuu mchezo hautaki hasira.😎😎
Huo uwanja c wanasemaga una viti huo viko wapi? Alafu angalia ulivyo na kutu.View attachment 2841746
Unamjua easter matiko,ebu ondoa huo uchafu wako kikunya hapa
Mbali na kujengwa hilo pagali wakajenga mafremu kama ya kijiji cha nyampande kuzunguka ilo pagale, sijui walituonaje sisi watu wa Mwanza?Jengo la zamani halina viwango vinavyostahili halina partition, lipo kama jumba la sinema, halina vitu vya msingi zaidi ya hall la kukalia watu kama wapo kwenye kikao.
😁😁😁😁🤣🤣🤣🤣🤣😆😆😆😆😆😆
Bila shaka Hilo Jenga Ali design yule baba yenu Injinia Mwendazake
Si wanasema wali design Wakenya hilo 🤣🤣🤣Mbali na kujengwa hilo pagali wakajenga mafremu kama ya kijiji cha nyampande kuzunguka ilo pagale, sijui walituonaje sisi watu wa Mwanza?
Nioneshe picha kama hii kutoka hapo kijiji cha Mwanza. This is Mombasa skylineView attachment 2841644
Sura ngumu ya kibantu.View attachment 2841746
Unamjua easter matiko,ebu ondoa huo uchafu wako kikunya hapa
Kuna mambo mengi yatakayomuacha kinywa wazi. Sisi tumefanya maendeleo bhana asikwambie mtuHapo alipo haamini kama masaki ni kubwa sawa na mombasa 😁😁😁😁😁😁
Ulitaka sura ya kizungu au?😎Sura ngumu ya kibantu.
Hii ndio skyline ya Mwanza?😂😂😂