Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,104
- 17,822
Mimi ni mwafrika kaka blaza tena mzaliwa wa maziwa makuuChutama tu; sio kujifanya eti wewe ni mzungu😎
Mimi ni mwafrika kaka blaza tena mzaliwa wa maziwa makuuChutama tu; sio kujifanya eti wewe ni mzungu😎
Sawa.😎Mimi ni mwafrika kaka blaza tena mzaliwa wa maziwa makuu
Wakati unaingia humu jf ulikuwa hujui kabisa kiswahili ila now upo vzr, hongera.Yoyote hutumika Kwa vitu. Mfano: chagua habari yoyote unayoipenda kwenye hili jukwaa.
Yeyote inatumika kwa wanaadamu.
Mfano:Mtu yeyote anaweza barikiwa na Mungu kwa wakati wake.
Natamani nimekujibu ipasavyo
Asante sana kaka blaza, ila wewe pia kiingereza chako kimenoga thanks to this forumWakati unaingia humu jf ulikuwa hujui kabisa kiswahili ila now upo vzr, hongera.
Unajua mambo mengine yapo wazi sn, hivi unawezaje kulinganisha Tz na Kenya kiuchumi? Tuna mega projects nyingi sana, JNHPP, EACOP, SGR, BRT, hivi hata kama hujui kusoma unawezaje kukubali eti Kenya inaizidi Tz kiuchumi? Hata kama wewe ni mwehu unawezaje kukubali upotoshaji huo?Mbona Bomba la EACOP la $5b hamlitaji? Investment kwa upande wa Tanzania ambapo ndio 70% ya project nzima sio chini ya $3b
🤣🤣🙏Asante sana kaka blaza, ila wewe pia kiingereza chako kimenoga thanks to this forum
View: https://www.youtube.com/watch?v=Yyw1Gf-oo_0
tupate burudani kidogo pia wakenya nao wenyewe wajiliwaze
He is a native English speaker 🤣🤣🤣🤣Chutama tu; sio kujifanya eti wewe ni mzungu. Acha ushamba😎
Napendekeza Serikali ianze Usanifu wa haraka wa Sgr zifuatazo Ili kukabiliana na Ongezeko kubwa la shehena ya mizigo linaloletwa na Ukuaji wa Uchumi na kuhakikisha tuna maximize faida Kupitia DRC ambayo ndio Jiografia yetu Inatu favour zaidi.
1.Makambako-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Ruangwa-Mtwara Port.
-Hii route ni itatoa relief Kwa Bandari ya Dar na kuipa uhai Tazara.Tunawesa ingage Wachina ambao wameanza Kupitia Upya Tazara.
2.Tanga-Kiteto-Kondoa-Singida-Isaka
-Hii route itatoa relief Kwa Bandari ya Dar na kutoa ushindani Kwa bandari ya Mombasa
3.Serikali ifikirie route Mpya kutoka Gati la Lagosa-Mpanda-Inyonga-Rungwa-Mtera/Chipogola-Kilosa ikaungane na existing Sgr.
-Mizigonya South Eastern DRC tutakuwa tumeikamata.Ikiwezekan Serikali iachane na Ile section ya Karema-Mpanda-Kaliua badala yake wafikirie kujenga hiyo reli Mpya.
View attachment 2842640
Hizo Sgr zote ziambatane na Barabara zake maana Kwa Sasa unaambiwa Malori 1,600 Yana play Kila siku kati ya Dar-Tunduma.
View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1735241822182551774?t=1QLeqsPDaysB_R-pP1RFIQ&s=19
By 2030 kama Eastern DRC inakuwa na amani kutafumuka uchumi mkubwa sana ambao utahitaji njia Mpya za reli,Barabara na Bandari.
View: https://www.instagram.com/p/C0y4FasPJOU/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Huwa sio kwamba natia chuku. Ila Mwinyi hapa alitumia magari hajawahi ona Tanzania nzima,
View: https://youtu.be/Lij8Abh5hLY?si=zsn4Xtd9oAZNqNNo
Embu kwanza wajue exports zetu ni USD 14bn against theirs at USD 7bn 🤣🤣🤣Currently GDP ya Tz ni $150b.