Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Napendekeza Serikali ianze Usanifu wa haraka wa Sgr zifuatazo Ili kukabiliana na Ongezeko kubwa la shehena ya mizigo linaloletwa na Ukuaji wa Uchumi na kuhakikisha tuna maximize faida Kupitia DRC ambayo ndio Jiografia yetu Inatu favour zaidi.

1.Makambako-Malinyi-Nyerere NP-Liwale-Ruangwa-Mtwara Port.
-Hii route ni itatoa relief Kwa Bandari ya Dar na kuipa uhai Tazara.Tunawesa ingage Wachina ambao wameanza Kupitia Upya Tazara.

2.Tanga-Kiteto-Kondoa-Singida-Isaka
-Hii route itatoa relief Kwa Bandari ya Dar na kutoa ushindani Kwa bandari ya Mombasa

3.Serikali ifikirie route Mpya kutoka Gati la Lagosa-Mpanda-Inyonga-Rungwa-Mtera/Chipogola-Kilosa ikaungane na existing Sgr.
-Mizigonya South Eastern DRC tutakuwa tumeikamata.Ikiwezekan Serikali iachane na Ile section ya Karema-Mpanda-Kaliua badala yake wafikirie kujenga hiyo reli Mpya.
View attachment 2842640

Hizo Sgr zote ziambatane na Barabara zake maana Kwa Sasa unaambiwa Malori 1,600 Yana play Kila siku kati ya Dar-Tunduma.

View: https://twitter.com/swahilitimes/status/1735241822182551774?t=1QLeqsPDaysB_R-pP1RFIQ&s=19

By 2030 kama Eastern DRC inakuwa na amani kutafumuka uchumi mkubwa sana ambao utahitaji njia Mpya za reli,Barabara na Bandari.

View: https://www.instagram.com/p/C0y4FasPJOU/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Reli haijengwi tu kwa kuchora bali baada ya uchambuzi yakinifu!
 
Sio kwamba hakutaka kuponda bali kakosa picha za kuponda, IamLee sio mkenya wa kwanza kuja Bongo na kukosa picha za kuponda, huu uzi ni kwa ajili ya kuonesha kipi kipo huku na huku hakipo, ilifika kipindi kuna mkenya aliahidi kutuma mtu apige picha za hovyo bongo amtumie ili yeye apost huku lkn alikosa hizo picha. Ukweli ni kwamba Bongo yapo maeneo ya hovyo lkn si kwa level za Nairobi na miji mingine ya kiafrika.
Wakija TZ uwa wanashindwa kupata walichokikusudia,kuna mkunya m1 yuko tiktok uwa anapost picha za dar ila video anaweka filter ile ya low quality
 
Heheheeee wageni wote wanaokuja wanasifia JNIA over all airports in EA, unachozidi JNIA mbele airports za EA ni usalama na usasa, huwezi kuibiwa kitu chochote ndani ya JNIA, JKIA haiko secured, that's why abiria akiwa anaenda Kenya ni lazima aifanyie wrapping bag yake. Acha uzalendo kuwa mkweli ili mbadilike mana haya maoni yako yanaonekana na viongozi wenu, unaposhindwa kubali. JNIA huwezi fananisha na JKIA.
Ni kweli kaka kuna siku mzungu mmoja amenikuta kwny corridor ameland kutoka Nairobi akaniambia anatafuta ofisi ya Head of Security (HESO) jana yake alisafiri kwenda Nairobi wakati wa kutoka alimisplace wallet yake alitoa taarifa wamempigia simu imepatikana na ina kila kitu chake ndani aje kuchukua just imagine wallet kitu cha kuweka mfukoni tu na ku-disappear ila watu wamekuwa waaminifu.
 
Kuna masuala ya kiuchumi huwezi kuchora tu na kujenga Hiyo ya Mtwara mpango upo na umefanyiwa studies! Na itakuwa CGR inaweza kuunganishwa na TAZARA!
Hapo nimezingatia Hilo swala la uchumi hususani kupunguza msongamano wa mizigo hapo Dar Port na kuongeza efficiency ya Tazara Kwa kufungua hiyo route Mpya.

Mfano kutoka hapo Makambako Hadi Dar ni olmost the same distance na Dar so hapo kifuatacho itv ni kuangalia viability ya hiyo route in terms of construction costs lakini hiyo route Ina make sense.

Ondoka kwenye mawazo ya Kikoloni,hivyo hivyo na kwenye route zingine.Nawakumbusha tuu Tanzania na Nchi zote tunazozihidumia by 2030-2035 zitakuwa na GDP kubwa zaidi.
 
Local industries

View: https://www.instagram.com/p/C01470lsj5q/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
818299934.jpg
2086076171.jpg
-1235803527.jpg
984463118.jpg
 
Geza Ulole Sama boy 255 Mtanisamehe asee wakati natafiti kuna sehemu niliona inasema Investment za SGR zimefika 10 USD Billion asee mpaka nikaogopa nikashindwa kutofautisha Investment na fund allocated in that time, maana mwanzo niliona yapi alipewa 900+ million wakati anaanza it was way back, alafu nikaona 2.2 imepewa kwa mkandarasi mpya kumalizia lot iliyobaki ndio nikafikia hapo.


Mniwie radhi, nitacorrect, Kunyans tupe mradi wa USD 10 BILLION Mliowahi kufanya huku uchumi unapumua at the same time mna miradi mingine ambayo inanyofoa USD 10 BILLION tena.

"Tanzania yetu ni moja hatuna nyingine"
 
Heheheeee wageni wote wanaokuja wanasifia JNIA over all airports in EA, unachozidi JNIA mbele airports za EA ni usalama na usasa, huwezi kuibiwa kitu chochote ndani ya JNIA, JKIA haiko secured, that's why abiria akiwa anaenda Kenya ni lazima aifanyie wrapping bag yake. Acha uzalendo kuwa mkweli ili mbadilike mana haya maoni yako yanaonekana na viongozi wenu, unaposhindwa kubali. JNIA huwezi fananisha na JKIA.
Mkuu mie walitaka kunipiga perfumes eti sitakiwi kuingia nazo usiombe ukutane nao hao washenzi🥺🥺🥺🥺experience ya pale sio nzuri brother.
 
Kuna mkenya mwenye anaweza nielezea tofauti ya haya maneno mawili.?

1.Yoyote
2.yeyote

Kenyans, what is the difference between these two words.?

Cc Teargas Kimbg Nicxie mwaiofhawaii .
Yeyote- inatumika ukiwa unamhusisha mtu/watu
Eg: Mwanafunzi yeyote apite mbele

Yoyote-inatumika kwa vitu/ viumbe wengine tofauti na binadamu
Eg: ng'ombe yoyote asichungwe karibu na mto

Mimi sio mkenya tho!
 
Back
Top Bottom