Estimated budget ni USD 900m na tayari kuna tajiri mmoja mwenyewe migodi Burundi alijitolea kutoa hela yote ya ujenzi ili tukatane kwenye kubeba mzigo wake wa madini huko mbeleni imagine ni mzigo mkubwa kiasi gani atakuwa anasafirisha kila mwaka ku warranty hiyo hela yote USD 900m.Kati ya Walikale na Kisangani Kuna nini kipo katikati kinazuia reli isinyooke?
Burundi unajua Gdp yake ni $3 billion? Huwa mnatutishia na Burundi hadi nasikia kucheka. Gdp ya Kenya ni kubwa kushinda ya Burundi zaidi ya mara 35. Mradi ni tembo mweupe ukizingatia kwamba Burundi haina uwezo wa kifedha wa kujenga reli hio. Angalau DR Congo wana uwezo. Lakini jengeni tu yote ni maendeleo ya Afrika na sina tatizo nikiona Afrika ikisonga mbele.
Wakunya,hii ndio maana ya medical Tourism,na Bado
View: https://www.instagram.com/p/C0ya-8XI1Kt/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Kwani hujasikia by june 2024 all Tanzanians will have access to electricity. Sisi tunafanya vyote simultaneously umeme production JNHPP, transmission is currently being overhauled, distribution ongoing kila village.Mizigo gani ya maana inaenda burundi?
Iyo pesa jengeni roads na electricity kwenu ifike 90%>
Pia muondoe uswazi nchi mzima.
Wapo wengi sana,sasa hao wacomoro ukienda hadi hospitali ya mnazi mmoja pale unawakuta,kunyan ndio usiseme wamejaa JKCI na KMC kule kilimanjaro wamejaa wa kumwaga,ukija kwenye boda tulizopakana na kunyan,upande wa kunyan hamna huduma za kiafya kunyan wote wa pande zile uwa wanavuka boda kuja TZ kutibiwa,watanzania tuna huruma sanaWakundustan wamejaa JKCI kama kumbi kumbi na hawana popote pa kwenda Africa zaidi ya Tanzania pale hospitali zao zote zinapoinua mikono
Angalia wamalawi wanavyofurahia huduma za kibingwa
View: https://youtu.be/YvM2S6nezLs?si=FKNsGbu4zIX1sUkj
I have noticed lately Bongolalas don’t mention Mo-town with Mwanza in same sentence… they gave up..🤣
Mzigo umekuwa mwingi ghafla ni barometer nzuri ya picking up of economic activities 😁Laini ya meli inaonyesha inefficiency not SIFA.
Shows poverty
Hivi ndio mnadanganywa..tuko nayo uku kenya..hicho kifaa..
Hii kitu ni mud tower ama? Mbona lishapinda?
Sisi tuko very strategic tuna assemble gari za kazi zinazo support uchumi kukua kwa kasi. Our priorities are different from others.Yule mama Teargass hapa atapita kimya kimya
Wakenya wapo wengi sana zaidi ya watanzania alafu kanchi kao ni kadogo.Wamebaki kutahamaki na kushangaa eti Tanzania bado kuna mashamba, ukiangalia comments kwenye videos za wakenya wenzao waliotembelea Tanzania wa nashangaaga Tanzania kuwa na eneo kubwa lenye rutuba na hapaishi mtu kabisa 🤣 hapo ndio huwa najiuliza kama idadi yao ni sahihi kweli? Hata miji yao inaonesha inamsongamano mkubwa sana wa watu tofauti kabisa na Tanzania
I think u should ask urself who is first? Kenya!
Kumbe? SikufahamuI think u should ask urself who is first? Kenya!