Shebby01
JF-Expert Member
- Nov 11, 2020
- 2,520
- 5,872
Mkunya ana wivu sana! And now Tanzania has the best preserved natural environment na more are still being discovered inawauma sana!Huyu mpumbavu wa wapi?
Mkunya ana wivu sana! And now Tanzania has the best preserved natural environment na more are still being discovered inawauma sana!Huyu mpumbavu wa wapi?
Baba yake huyu binti.Huyu mpumbavu wa wapi?
Nilipewa documents za Activist wakipinga hili pipe nizipeleke eneo flani nilizitupa. Ila wamesaidia watoa copy na kuprint, sio kwa rundo la utopolo ule.Waambie waongeze budget ya activists wanaopinga huu mradi ili wapige nduru iwe kubwa zaidi 🤣🤣🤣
Waambie waongeze budget ya activists wanaopinga huu mradi ili wapige nduru iwe kubwa zaidi 🤣🤣🤣
Sasa hivi hawawezi danganya mtu ndio maana wana hasira sana.Kenya wametumia mngongo wa Tanzania kupotosha watu especially swala la tourism especially Europe!
Hii itakuwa Kunya tuu. Bongo hamna upuuzi kama huo 🤣🤣🤣