Hela ya ugali hawana mpaka wanaandamana ndio itakuwa hela ya kutoka nje ya nchi yao?!!!hio nyang'au imefungiwa kama mtoto bikra halitokagi lione nchi nyingine zikoje.
Hela ya ugali hawana mpaka wanaandamana ndio itakuwa hela ya kutoka nje ya nchi yao?!!!hio nyang'au imefungiwa kama mtoto bikra halitokagi lione nchi nyingine zikoje.
😅😅😅😅😅😅Hawa watu wako under prescription ya Bretton Woods institutions. Tuwaache tuu mpaka wamalize matibabu 🤣🤣🤣
Nah ni ujinga wa kufanya repair and maintenance ghali wakidhani wata-create soko la magari mapya na hivyo ku-attract car assembling investment!Hawa watu wako under prescription ya Bretton Woods institutions. Tuwaache tuu mpaka wamalize matibabu 🤣🤣🤣
Wapi kelele za pipeline.
View: https://x.com/eacop_/status/1734438844513312846?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Huyu si Teargas huyu anaonekana macho na meno tuu 🤣🤣🤣Now wapo gizani, hakuna umeme Kenya nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2840128
Hata wakifanya maintenance umeme bado ni ghali sana huko Kunyaland. From next year Tz will enjoy cheaper electricity rates na umene wa uhakika. Investors watakuja wenyewe tuu ama wata relocate bila kupenda following lower production costs.Nah ni ujinga wa kufanya repair and maintenance ghali wakidhani wata-create soko la magari mapya na hivyo ku-attract car assembling investment!
Waambie waongeze budget ya activists wanaopinga huu mradi ili wapige nduru iwe kubwa zaidi 🤣🤣🤣"No pipeline" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
15 years sura ngumu kama mtu wa mjengo.🤣🤣🤣Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Haha watu wanakaa 23 years,15 years sura ngumu kama mtu wa mjengo.🤣🤣🤣
Now wapo gizani, hakuna umeme Kenya nzima 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 2840128