Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,946
- 34,994
Mmechezea ukuni na leoHawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Mmechezea ukuni na leoHawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Mumi na huku kamongo 😂😂😂😂😂😂We unaumwa kichwa eti kwani uoni mkeka apo au unaleta ubishi kama kamongo
BTW Tanzania ndo nchi pekee yenye FIFA certified Laboratories zenye kupima umri! MOI!Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Kiswahili is just like Kikamba, Kikuyu, kimaasai na Kiluo.
View: https://youtu.be/gZtVxpl4Wqs?si=KAHopFj3snXe5JM-
Utajua mwenyewe, sisi tunaandika kwamba tumewatmb bila cndm.Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu
Mechi nne Tz vs Kenya, moja mmeshinda kwa penalti, 3 tumewatmb ndani ya dk 90, haya niambie nani mnyonge apo🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hawa watu mkiangalia ni under 15!!!
Yaani nchi yenu kila kitu ni jokes tupuuuu