KOMANDO YOSO
JF-Expert Member
- Sep 7, 2023
- 819
- 2,864
Huyu prime fuels ana gari nyingi zaidi ya nusu zina tenda huko Angola, Namibia na Zimbabwe. Chuma zikienda huko zinapiga kazi mwaka au miezi kadhaa.
Udongo nation
Kaumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Usisahau kuenda ku tour gongo la mboto..na mbagala..
Kwanza wewe unafaa ukutane na yeye..mtembeze Dar kwote..Kaumia ☝️☝️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kama Ibiza mwanangu 😍😍😘🥰❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥Wewe fanya corrections acha mimi nikajibambe, sawa?View attachment 2840815
Huo muda natoa wapi kwa mfano.Kwanza wewe unafaa ukutane na yeye..mtembeze Dar kwote..
Nitakachomwambia tu ni kwamba akirudi awaambie ukweli Vibe atakalokutana nalo si la kitoto, pia apo alipo asitoke kuna kitu atakutana nacho usiku wa leo atawaadithia.Kwanza wewe unafaa ukutane na yeye..mtembeze Dar kwote..
Kama Ibiza mwanangu 😍😍😘🥰❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Kama Ibiza mwanangu 😍😍😘🥰❤️🇹🇿🔥🔥🔥🔥
Tafuta mtoto wa kibongo apo akupe vitu vya kibongo usahau kwenu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nicxie unaona mwenzako IamLee anajibamba pande za coco beach 🏖️ wewe kusafiri hausafiri unajificha tu mashinani huko hata exposure huna, siku moja moja uwe unatembea uone na nchi jirani kupoje usifikiri dunia inaishia kibera tu.Happy Jamhuri Day ♥️
View attachment 2840852
Kumbe hizi ndonga zinafanyiwa assembling apo kibaha? Huwa naziona sana road.
Kumbe hizi ndonga zinafanyiwa assembling apo kibaha? Huwa naziona sana road.
Njoo Bongo utoe sumu mwilini kwa bei nafuu achana na izo tetenasiIt's only Kenyan bus companies that can do this.
A schedule of Guardian Angel buses leaving Nairobi to upcountry at the same night. No Tanzanian bus company can send more than 20 buses from one destination at a go.
View attachment 2840914View attachment 2840915