Wanatoka form four wanaenda chuo, shida ndio ilianzia hapo.Engineers wenu siwaelewi
View attachment 2840327
KaribuView attachment 2840413I am in town folks
kabisa hili nakubaliana nawe na wanawabagua haswa.Haya huwa ni majinga siku zote, yapo hivyo yote mpaka viongozi wao, ule mstari kama ungenyooshwa manaake maeneo mengi ya Kenya yangekuwa Tz mfano Mombasa, na ndiyo maana hata ukiwaangalia wakenya wa maeneo yale hawafanani na wakenya wenzao wanafanana na watz.
mwezi huu wa12 inakuja vichwa vitatu na lile joka lako litakuwepo usiwaambie mapema."No pipeline" 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
baada ya bwawa nahisi tuangalie nyuklia singida kabisa tuwe na reactor ya nyuklia tuwe na umeme wa kutosha tuwalishe hawa nyumbu russia ni watu wetu serekali iweke huu mkakati mapema.Hata wakifanya maintenance umeme bado ni ghali sana huko Kunyaland. From next year Tz will enjoy cheaper electricity rates na umene wa uhakika. Investors watakuja wenyewe tuu ama wata relocate bila kupenda following lower production costs.
leo umefika kabisa town usisubiri kuhadithiwa haya utupigie na vipicha vipya habari za narok utokako.View attachment 2840413I am in town folks
Hata mimi lipita njia hii leo, waambie wenzako ukweli, binafsi nimeona Scania za Bomba za mafuta kama 100 hiv all the way from vingunguti to plascon near Tazara flyover. I also want you to know that Teargas 🤣🤣🤣 mamaaeView attachment 2840413I am in town folks
Pole sana kijana na hicho kimtaa chako😞😞View attachment 2840413I am in town folks
Najua roho inakuuma jinyongee apo sasaView attachment 2840413I am in town folks
Have fun hakikisha umetembelea mgahawa wa esha,shishi au fika samaki samaki ule misosi ya maana sio githeri na chapo tu 😎😎View attachment 2840413I am in town folks