IamLee
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 7,284
- 9,448
Shida yako ipi sasaNajua roho inakuuma jinyongee apo sasa
Shida yako ipi sasaNajua roho inakuuma jinyongee apo sasa
AMna shida vitu kama ivo usiweke kwa roho.. sawa furahia BongoShida yako ipi sasa
Samaki samaki.. itakua good na freshBusiness finished, nipeeni proper places sasa nijibambe kidogoView attachment 2840697
umeona underground tunnel?View attachment 2840413I am in town folks
Ameona ila anajifanya ajaona Tunnelumeona tunnel?
Uzunguni na phillips pananoga sanaArusha Tanzania
View attachment 2840709
ako=yupo. Aisee tafadhali usilete Kiswahili cha kinyan’gau hapa Tz😎
Waambieni Bado hatujamaliza ,ndio kwanza kumekucha bila igatuzi Wala ugwaduWengine husifia Ugatuzi! Sie hakuna ugatuzi na tunawapeleka puta!
Hata mimi lipita njia hii leo, waambie wenzako ukweli, binafsi nimeona Scania za Bomba za mafuta kama 100 hiv all the way from vingunguti to plascon near Tazara flyover. I also want you to know that Teargas 🤣🤣🤣 mamaae