Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kilimall and Jumia don't deal with foodstuff 😂😂😂. Kama hujui kitu unanyamaza.
Screenshot_20231209-183205.png


Sasa hiki nini?
 
Alafu nikuibie siri, sababu inayofanya hayo masupermarket yasifanikiwe ni kua bongo yoyote anaweza miliki Ardhi iwe mjini or vijijini, hii inafanya yoyote aweze fungua Duka la FMCG, sasa huko Ukunya ardhi kuipata mbinda hivyo hamuwezi establish popote, wanaomiliki ndio wanaishia kuwafungulia sehemu moja mnaenda wote hapo hapo.
You are just idiot. Just accept that hamna formal retail industry.
 
Kilimall and Jumia don't deal with foodstuff 😂😂😂. Kama hujui kitu unanyamaza.
Alafu sasa mbona umesema Authentic na kuna bidhaa full za Wachina uliokua unawasema wanatoa fake, wapi za mabwana zenu.

Alafu unajua kwamba hivyo vitu vyote vipo Kariakoo ni kufika na kufunga mzigo, na EACLC ipo inapanua zaidi.

Kama nilivyosema kinachofanya mflourish na E ni kwa sababu hamwezi wekeza kwa ground outlets nchi nzima kwa sababu hamuwezi miliki Ardhi hivyo kuachia watu wachache ambao wanaishia kujenga hapa na pale kuendelea kufanya kue na ugumu mwishowe mnaona hapo E commerce ni mbadala.

Mbona Bongo kuna Kikuu, Jiji, Kupatana, Kariakoo Mall.

Na unasema eti hatuna purchasing power wakati Kariakoo ndio inaongoza EA kwa flow ya biashara, mpaka nchi jirani zinakuja.
 
You have a network speed of zero😂😂😂. Tz bado Iko nyuma walahi😂😂😂
Unataka nikiwa sina cha kuload MB ziendelee kutumika?

Kumbe huko hata mkiwa hamload Mb zinandelea kutumika
 
Unataka nikiwa sina cha kuload MB ziendelee kutumika?

Kumbe huko hata mkiwa hamload Mb zinandelea kutumika
In Kenya we don't have to worry about MBs cause we don't use them. Ebu cheki how everybody uses WiFi in my neighborhood.

When will Tanzania reach these levels?
Screenshot_20231209-185239_3.jpg
Screenshot_20231209-185404_1.jpg
Screenshot_20231209-185347_1.jpg
Screenshot_20231209-185435_1.jpg
 
Back
Top Bottom