Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Do local use them if yes, why Nairobi nzima kila picha mmevaa kama Team Makoti ya Miso Missondo, Mnalia njaa why wakati mpo na bigger tech ya kufacilitate upatikanaji wa vitu, Alafu E Commerce inauza FMCG, Nyie Kenya mlichagua mfumo wa Supermarket, ambao ni kama umehamia Online, sasa unataka bongo tufanyeje, kila mtaa unakuta una maduka ya FMCG za kutosha,

Purchasing power ya nyoko we mwenyewe hapo huna uhakika na msosi na ukiona bei za msosi wa kuagiza mnakimbia, mwisho mnaishia kubebesha Delivery Roboti Ugali wa Kijani (oyoo wazoefu NDINDA Geza Ulole ichoboy01 Sama boy 255 kuna ugali wa Kenya unachanganywa na kila kitu mboga humo humo mpaka rangi inakua kijani nimesahau jina mnisaidie)


Eeeh nimekumbuka MOKIMOOOOOOOOOOO


MOKIMOOOOOOOOO
Eti miso misondo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.

Can you compare that takataka to Cleanshelf?

11833470_unnamed_jpegeb81ef0de119b1bcb59ef5b3f061480c.jpeg
11723641_5e6b8fbbd08b12915b8f825eren20cleanshelf21_jpeg46e50575c726884f6981b8d11e664a47.jpeg
11723642_5e6b9126bc8ffbda26a303b8ren20cleanshelfheader1_jpegfda260369e21b455e0917ada00c566d5.jpeg
11723643_5e6b8fbb14caca71072b7a3bren20cleanshelf101_jpeg9d9235638c134ef4dcceaa9b93ad0a70.jpeg
 
Teargas unaupiga mwingi, nimeona picha hapo ya buffet safi sana. Kama hutakasirika naomba darasa dogo, inavyoonekana mpo na purchasing power nzuri eeh, sasa inakuaje huko kuna chronic hunger?



Kingine kabla hujapost uwe unaanza na Thanks for beloved Tanzania Agricultural management to help us have this delcious food on out shitty table.
 
Yes. Kwanza I'm 100% sure every Kenyan in this forum uses bolt, Uber etc to move around. Nyinyi hamna uwezo like that.
Nimequote hilo duka lako. Alafu kuna nini unapata ukiagiza Uber or Bolt foods? Si unaletewa junk food ambayo inashorten life expectancy. So ni Every Kenyans in this forum naona huko wengine wanalia kweli kweli. Tunashukuruuuu umekua specific.

Kuhusu sisi kama ni Bolt or Uber ya usafiri tunaomba usitukosee tafadhali, kwanza we like to be specific usafiri jijini upo well organized, anytime unapata usafiri wa kukufikisha, hizo Bolt na Uber ni option mojawapo ya usafiri huku Dar na majiji mengine.

Kwa kua nyie mnapenda kua wazungu weusi na hamna well organized public transport, Uber na Bolt ndio tu well organized ndio maana mnazipenda.

Kitu ambacho ni option bongo
 
You have already given up😂😂😂. I have just mentioned 4 na tayari ushachoka. Niendelee ama niache?
Endelea may be utafika kutuonesha branch zao huko Turkana na North Kenya ili tufungue macho.

And niendelee kukukumbusha hivyo viretail vyote vinaombea Tanzania iendelee kuwa imara, ikiyumba tu nakwambia hutaweza mudu chochote hapo.
 
Nafurahi sana 🤣🤣🤣🤣 Tz ipo vizur kwenye sector ya online marketing kiasi ambacho naweza nunua kitanda hapo keko machungwa/Ubungo maziwa kutoka kwa fundi maiko na kikanifikia nilipo, yani online marketing Tz imeshika hatamu hadi wafanya biashara wadogo wadogo wanauza bidhaa zao online. Ki kampuni kimoja kufungua online marketing unaona dili.? 🤣🤣 No wonder nyie ni maskini sana
Kwa domo domo hamjambo, ila hadi jumia walitoroka nchi yenu kwa kuwa hio sector tanzania ipo very underdeveloped
 
Nimequote hilo duka lako. Alafu kuna nini unapata ukiagiza Uber or Bold foods? Si unaletewa junk food ambayo inashorten life expectancy. So ni Every Kenyans in this forum naona huko wengine wanalia kweli kweli. Tunashukuruuuu umekua specific.

Kuhusu sisi kama ni Bolt or Uber ya usafiri tunaomba usitukosee tafadhali, kwanza we like to be specific usafiri jijini upo well organized, anytime unapata usafiri wa kukufikisha, hizo Bolt na Uber ni option mojawapo ya usafiri huku Dar na majiji mengine.

Kwa kua nyie mnapenda kua wazungu weusi na hamna well organized public transport, Uber na Bolt ndio tu well organized ndio maana mnazipenda.

Kitu ambacho ni option bongo
I use Uber and Bolt for movement. Again I better use Bolt or Uber than to stand in your BRT congested with people full of bed bags.
 
I use Uber and Bolt for movement. Again I better use Bolt or Uber than to stand in your congested BRT people full of bed bags.
English ya Ugoko. For movement? Kwamba hapo Bolt tu ndio option bora, bodaboda hawana vijiwe hapo? Bajaji hazina vijiwe? Daladala hazina ruti? Mpaka tuchukue Bolt ujue tumekosa hivyo or tuna haraka.
 
Back
Top Bottom