buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,110
Safi sana, nina swali watu wa North Vipi ni Wakenya?Kenyans.
Safi sana, nina swali watu wa North Vipi ni Wakenya?Kenyans.
Naona unatafuta Angle ya kutokea, hizo site sawa zinauza Authentic vipi kuhusu mchele uliopo hapo unatoka wapi?Jumia and Kilimall you will be buying authentic items. Sio vitu fake that you are used to.
Jengo la kwanza linatukumbusha why majengo Kenya yaadondoka ovyoPicha zote za upande upande ulizoweka tunazi summarize hapa 👇👇🤣🤣🤣🤣View attachment 2837413View attachment 2837411View attachment 2837409View attachment 2837402
View attachment 2837401
Bado mna safari ndefu kuikaribia Dodoma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Alafu unapiga kelele Kenya products dominate EA ukishikwa kende kwa maduka ya Mangi now zimekua fake.Jumia and Kilimall you will be buying authentic items. Sio vitu fake that you are used to.
Hio statement yako tyari inaonesha mlivyo washamba ikija kwenye online shoppingSasa tukanunue nini JUMIA ikiwa kiko karibu tena mtaani kwako tu? Tuambie tukanunue nini?
Kilimall and Jumia don't deal with foodstuff 😂😂😂. Kama hujui kitu unanyamaza.Naona unatafuta Angle ya kutokea, hizo site sawa zinauza Authentic vipi kuhusu mchele uliopo hapo unatoka wapi?
Leo nimejua Hawa watashamba kweli kweli on anything dealing with online shopping.Hio statement yako tyari inaonesha mlivyo washamba ikija kwenye online shopping
Sisi tuna kampuni zetu za ndani for online shopping kama sarafu etc. Hatutegemei kampuni za nje.Kwa domo domo hamjambo, ila hadi jumia walitoroka nchi yenu kwa kuwa hio sector tanzania ipo very underdeveloped
Kenyan built buses are all over East Africa. What else do you need to know?Alafu unapiga kelele Kenya products dominate EA ukishikwa kende kwa maduka ya Mangi now zimekua fake.
By the way una kende, kweli?
Afu wanajilinganisha na USA
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1733455722866671829?t=1wCYaqDfFnNgQy3LFQpcFg&s=19
Kuna Piki, Duka direct, Nikuze, Sarafu etc zote local na zinafanya vizuri sana. sema hawa watu wanadhani jua linazunguka kwao tu, Angalia vitu vyote wanavyoshanglia, sio vyao, sijui Jumia , Uber eats etc, Ukundustan Kazi. 🤣Sisi tuna kampuni zetu za ndani for online shopping kama sarafu etc. Hatutegemei kampuni za nje.
They supply you with fake products. This is a study done compering the quality of retail products supplied in different countries.Sisi tuna kampuni zetu za ndani for online shopping kama sarafu etc. Hatutegemei kampuni za nje.
Kumbe ndio maana hawaja leta matokeo humu. 😂😂😂
View: https://x.com/officialfufa/status/1733125412794847400?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Alafu nikuibie siri, sababu inayofanya hayo masupermarket yasifanikiwe ni kua bongo yoyote anaweza miliki Ardhi iwe mjini or vijijini, hii inafanya yoyote aweze fungua Duka la FMCG, sasa huko Ukunya ardhi kuipata mbinda hivyo hamuwezi establish popote, wanaomiliki ndio wanaishia kuwafungulia sehemu moja mnaenda wote hapo hapo.Jumia and Kilimall you will be buying authentic items. Sio vitu fake that you are used to.
Duh! Kumbe mnakufa na tai shingoni kisa kutafuta sifa, sasa Online Shopping si kurahisisha upatikanaji wa products ambazo kilocal ni ngumu?Hio statement yako tyari inaonesha mlivyo washamba ikija kwenye online shopping
Really?Kilimall and Jumia don't deal with foodstuff 😂😂😂. Kama hujui kitu unanyamaza.