AMARII
JF-Expert Member
- Aug 23, 2023
- 1,285
- 3,203
Uganda heb nao wawaachie hawa super power watambe kwenye comfort zone yao. 🤣🤣🤣 Imekua ni kuwanyima amani everywhere, Mradi wa bomba la mafuta mmewanyang'a, deals za bandari mmewanyang'anya hata hiki kikombe cha under 18 pia.? 🤣🤣🤣🙌🙌
Hawa kenge wa north walivyo myopic wanaweza kuhamishia chuki zao UG.. Maana ni kama mbwa kichaa.. Yoyote wanaparamia tu..
Hebu walengesheni kwenye battle ya logistics companies.. Upande wa cargo trucks na tankers za fuel.. Maana kwenye mabasi tayari tumewalalia