Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tz is far behind Kenya in anything commerce. Hata kwa retail space hawaezifika hata half of what Kenya does. Nimeona mwingine alisema ati sijui Afromart is bigger than any retail store in Kenya, after kumuliza the number of outlets kamepotea.
ndiyo mwingereza ni nini msichojikweza? ndio mana nchi inajawa na laana mnakufa njaa na bado hamjui makosa yapo wapi mnaishi maisha magumu sana na bado hamjui shida ni nini sasa jiagalieni hata na uganda wana njaa kama nyie? hell no.
 
Even France people demonstrating because of "bread "
Duh kwamba mko enzi za Antoniette, enzi za French Revolution, hongera sana no wonder mchina kawaletea modern and mighty train according to French Revolution Era perspective, na mabanda ya Kibera yako on right Era.

🤣🤣🤣🤣 Ubishi mwingine bana. Bei ya unga wanaipigia kelele, njaa kila mahali why wasiagize chakula huko Kilmall kulisha wakenya wote, kama wanavyosema Tunanunua kwa Magenge ambayo yanatulisha nchi nzima.
 
Hivyo vyote umetaja ni takataka mbele za Afromart, new Afromart in Morogoro 👇
View: https://www.instagram.com/reel/Cv10JYuNwc8/?igshid=MzRlODBiNWFlZA==.

You are clueless. Can that kibanda rival Naivas with 101 branches?

Screenshot_20231209-162357_1.jpg
11766501_eanvthnxyaa4dqy_jpege0beda7e1c55f226d96b6bdd6ec6e6c4.jpeg
11766517_5e5fb4a0e8a91aad5f341a26ren20webnaivasexport3_jpegf793309cb86e5e99b5cbc2148b1da5dc.jpeg
11766503_ewcyp6ewaaamejz_jpeg00eee170f2022ff4ae9e5c7febb74633.jpeg
11766502_5e5fb4a0f85d893102ef869bren20webnaivasexportheader_jpegd91911d6be47e4136e4b28739551d...jpeg
 
Show us the international brands I have mentioned above, local e-commerce shops Kenya ziko in thousands. Tuonyeshe international brands.
Why would we need international brands kama local zetu zinatufaa vizuri? And hiyo culture yenu yakula vyakula kutoka international food chain hatuna !we have the best cuisine in the region and we love to prepare our meals at home! Hatuna hiyo culture ya ku order pizza inn sijui terrific Tuesday etc.
Mie Niache kwenda kula kwa mtumisha au shilole inn nikale kfc? Nitakua kichaa!
 
Show us the international brands I have mentioned above, local e-commerce shops Kenya ziko in thousands. Tuonyeshe international brands.
Do local use them if yes, why Nairobi nzima kila picha mmevaa kama Team Makoti ya Miso Missondo, Mnalia njaa why wakati mpo na bigger tech ya kufacilitate upatikanaji wa vitu, Alafu E Commerce inauza FMCG, Nyie Kenya mlichagua mfumo wa Supermarket, ambao ni kama umehamia Online, sasa unataka bongo tufanyeje, kila mtaa unakuta una maduka ya FMCG za kutosha,

Purchasing power ya nyoko we mwenyewe hapo huna uhakika na msosi na ukiona bei za msosi wa kuagiza mnakimbia, mwisho mnaishia kubebesha Delivery Roboti Ugali wa Kijani (oyoo wazoefu NDINDA Geza Ulole ichoboy01 Sama boy 255 kuna ugali wa Kenya unachanganywa na kila kitu mboga humo humo mpaka rangi inakua kijani nimesahau jina mnisaidie)


Eeeh nimekumbuka MOKIMOOOOOOOOOOO


MOKIMOOOOOOOOO
 
Tz is far behind Kenya in anything commerce. Hata kwa retail space hawaezifika hata half of what Kenya does. Nimeona mwingine alisema ati sijui Afromart is bigger than any retail store in Kenya, after kumuliza the number of outlets kamepotea.
Sawa tumekubali tuko behind you, shida inakuja ukiangalia hizo E-commerce zinauza bidhaa ila hatuoni Chochote huko, mara maandamano maisha magumu, ikiwa E e-commerce ili iwe hivyo kama data means kuna purchasing power kubwa, inakuwaje nyie matajiri mnalia unga wa ugali bei, mnavaa kama Team makoti ya Miso Missondo.

Wazee wa kudeliver MOKIMOOOO mpo juuu ya bongo bado hatujafika kudeliver kisamvu.
 
Naivas
Quickmart
Magunas
Chandarana
Cleanshelf
Woolmart
Eastmart
Shivling
Bestlady
Muthokinjo
Khetias
Maathai
Tumaini
Nyingiii safi makofi kwenu tafadhali. Ongeza matawi Huko North tafadhali huoni Bandit wapo na Minot, watu wa Turkana pia si wanakaa kwa Sentensi yako Purchasing power in Kenya, wasogezee waache kuua Punda, kuna Kuku wa KFC watamu wapelekee, kuna bidhaa nyingi acheni uchoyo wa kukaa Naipori.

As always nasisitiza nyie wapokea Madumu Ikulu, Wenye ugomvi na madirisha, wazee wa flying toilet, Modern slave mnaposema chochote huko Kenya muwe mnakua specific ni NAIROBI mkigeneralize inakua Overall ambayo ni worse.



MOKIMOOOOOOOOO, TEAM MAKOTI TUUTUU TUUU TURUTUUUUU TUUUU TUUU TUUU TUUU
 
Back
Top Bottom