View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1730689857763107002
MY TAKE
I thought Kunyaland was!
Anatongozwa mtu hapo USA mashine imeshasimama kabinti kamejipaka mafuta mpaka kinangaa.
View: https://twitter.com/AfricaFactsZone/status/1730689857763107002
MY TAKE
I thought Kunyaland was!
Huyu jamaa ni mkenya nae alikua na road trip ya kunyalazy to SA,video anazopost akiwa TZ kuna wakenya wanaojielewa awaamini kama TZ iko vizuri namna ile kwenye barabara,kiufupi wamekubaliHuyu ni mpakistan anaenda south Africa...ameanzia Kenya na kaingia Tanzania kupitia horohoro kule Tanga...
Bora amesema ukweli kuwa Tanzania roads are better than Kenyan roads...
Watu wanazidi kutoa ushuhuda na kuwasema wale wanaojiita most developed country in East Africa....
Itafika muda watakubali tu
Hiyo kapost baada ya kuona barabara za Tanzania zinasifiwa kuwa ni nzuri na bora.na bado mtajiita majina yote yet kenya ni kenya as falled state niko pale.
The foal was born in Maasai Mara, stop arguing out of inferiority complex like your stupid countrymen here.Kwa unataka kusema?😎😎😎zebura ni mkenya?
aaah kumbe kakimbia masai mara na kufata greener pasture Serengeti nimekuelewa sasa 🤓The foal was born in Maasai Mara, stop arguing out of inferiority complex like your stupid countrymen here.
View attachment 2833314