Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Rock city Mall and Furahisha foot bridge Mwanza
d2407c478507546c300ef44fe715e94e.jpg


a47cbdb7a995c41c42251e66af4dc46f.jpg


Unbeatable Parking spaces
 
You can hate Dar but for this pics of Luanda what is so special to surpass Dar? Lemme tel you pal,all you need to do now is proving to anyones that Luanda has something special not that shits uve posted
Kufikia hapo sasa itabidi nimenyamaza tu.. Sisi wenywe Nairobi tunaogopa hilo jiji... Next thing inatoka kwako ni "tumechapa cape town"...
 
ebu nifanye research kidogo kuhusu Luanda...nilikua naidharau sana kumbe sio mchezo...another fantastic city is Harare...anyone can quickly dismiss it but it is fine...

wacha nifanye research ya Luanda ntakuja na majibu...

Hii inaonesha wazi jinsi wakenya msivyojua mambo mengi yanayoendele nje ya Kenya, yaani leo ndiyo unaisikia Luanda na kuanza kuidodosa? Ndiyo maana kila siku tunawashangaa hapa jinsi msivyo fahamu hata mambo ya Afrika mashariki.
 
watakuambia nin hiko nyuma.... wataanza mara slum mara ooh uswahilini.... wangeijua Mikocheni na hiyo Kijitonyama wala wasingepata tabu ya ku_argue, wawaulize wakenya wenzao waishio Dar maana wamejazana Sinza, Kijitonyama, Mikocheni, Kinondoni n.k

Tushawazoea hawa... mji wetu ni wa kipekee sana Afrika, tumeujenga wenyewe.
 
Back
Top Bottom