Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

leaving the station
avcxmz1nmx3n59fe0b3362c8c.jpg
Huo moshi vepee?
 
Kufikia hapo sasa itabidi nimenyamaza tu.. Sisi wenywe Nairobi tunaogopa hilo jiji... Next thing inatoka kwako ni "tumechapa cape town"...
ama kweli mkinya ni kama mbusi.

Sasa nairobi ni ugoro gani unataja hapa!!!nyie lazima luanda iwatoe kamasi hamna jipya tena.

Luanda hizo ni ligi za dar etc.nairobi iendelee kuwa na maajabu ya slums duniani ndio imabaki nayo.
 
Dambisa Moyo (Zambia), David Ndii (Kenya) Congrats.
Top 100 Most Influential Economists 2017
Dr.David Ndii huyu ndiye kila siku anawaambia kwamba uchumi wa Kenya ni ruthless economy and Tanzania soon will overtake Kenya, na ameishauri Kenya ijifunze na kuiga toka kwa Magufuli lakini mnampinga, ila hapa unamsifia kwa sababu inawakilisha Kenya, hovyo kabisa.

Kwakweli Dr.David Ndii ni msomi mzuri sana duniani, tatizo kubwa yupo Kenya, wakenya hawana uwezo wa kujua na kuthamini wasomi, ninyi kila kitu mnakiangalia kwa jicho la ukabila au la siasa.
 
Unajua bro wewe unachekesha umati hii konza ilianza toka 2006 leo 2017 yani miaka 16 hio ndio progress unatuonesha, hvi cant u be serious??? Miaka 16 naona nothing going on😀😀 plz endelea kutuonesha renders
 
Slow but sure. Kazi nai ilianza 1970s to date, good streets, wide motorways, amazing estates etc. Dar before 2005 ilikua Mombasa tu. kazi haraka haraka ona sasa tukijenga 25-50km motorways with interchanges ati ndio mwajenga flyovers. SMH
 
yani 16yrs hata crane sijaona😀😀😀😀😀 unaniambia slow but sure labda nikwambie lugha nyepesi hzo projects zilishakufa na zishageuka kua white elephant so kama utaendelea kutuonesha renders itakua poa

kwan wewe unataka kuniambia flyover ya kwanza nairobi ilikua mwaka gani????
 
Back
Top Bottom