Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

MNF baby
Pia wale wanaosemaga Pspf Sawa na TPA angalieni hizi picha hapo chini .

0de3ec3dd9e226773aee6e8ba9ffe162.jpg



c85f593b3fcbeaea265c6a3a998f4e49.jpg



3f57b9f61f96d802b37d4ac28f036ea0.jpg



1c1380326ed7dc205401e358a7e9514e.jpg


2aff7604ccc8311e3621398a3d8136cd.jpg
TPA imeanza from sea level
PSPF Iko juu kwenye kimpando
 
Kiukwel nyie jamaa mnapenda tu kukaa side opposite...nna uhakika ata siku mkiamua sifia bunjumbura mtasema inafunika Dar

Why can't you engage to post the best of Luanda to prove us how bera its
Nop...Dar is btter than Bujumbura but Luanda? I doubt
 
dharau bado zipo tele ila kwa battle inabidi tuangushe mapicha..sio dharau
hata estate moja ya maana hatujawahi onyeshwa humu....90% ya mji ni changudoa na nyumba za kiswahili tu....hahaha.Kariakoo nayo hata estate moja ya eastlands imetosha kumeza....
 
zungumza na picha...sio kufululiza ushamba hapa
emoji23.png
emoji23.png
Lagos ndio mji mkubwa kabisa Afika nzima...Johannsburg inaingia kwa Lagos mara ngapi?? ila usijaribu kufananisha Lagos na Joburg
emoji23.png
emoji23.png
Hiyo licha unaweza linganisha na picha ya Unguja - Zanzibar maeneo ya forodhani. Haiwezi karibia Dar. Ondoa ushamba.
 
Back
Top Bottom