Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kawe city (15km from CBD)
Kitu huwezi sogea,
NHC wameshapata mpunga wa mabilioni ya dola kufanya maajabu huku..

711 project by NHC
IMG_20161016_213304_922.JPG
IMG_20161016_213242_150.JPG
 
Kawe city (15km from CBD)
Kitu huwezi sogea,
NHC wameshapata mpunga wa mabilioni ya dola kufanya maajabu huku..

711 project by NHC
View attachment 635131View attachment 635132
lol.....a mere 15 km......the estate concept started in Kenya in the 1970's Nairobi has uncountable......seems like Dar is slowly starting to embrace urban civility of modern estate housing.......
 
Luanda yenyewe imejaa cranes kila mahali Yaani ndio panajengwa sahivi. ...anyway pako poa ,lakini pavute sana msuli Dar imeshasogea mahali Luanda bado
 
dar ndio itafikia mombasa 2030 sai ata port ya MSA kubwa mara 3
sgr tayari ipo msa
tourist wengi msa kushinda dar(tourist tz huenda kilimanjaro,serengeti etc hawatambui darslum)
suburbs na hotels ata nusu hamfikkii Msa
Gdp yenu na Msa ni sawa
millionares Msa 1000 dar 1200
2060 Unasema ni Dar kufikia Nairobi bila maendeleo yyte kuendelea nairobi sai
Ivi kama Tz inamabillionear wengi kuliko Kenya mnatupitaje kwa mamillionear
Au ndo ile kama mlivyosema Tz wapata internet ni laki1.4
 
Huyu jamaa anaota kweli. Yani kulinganisha dar na mombasa?? hata wenzake naamini wanamuona kichaa.. yani maneno hayo mawili dar na mombasa hayatakiwi yawe kwenye sentensi moja.
Huyo tunamjua vzr sana, taa ya oil inawaka😀😀
 
Back
Top Bottom