Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Weka nyumba zao ndefu hapa tufanye comparison...shida ni nn kupata convulsions kabisa kisa Luanda?
siwez poteza mda wangu bure...nikama kufananisha Nairobi na Kampala...Luanda ni mji mtamu sana...hata mara nyingine huwa nashuku kama Nairobi inaweza compete na lile jiji...sembuse Dar😀😀
 
Mungu ana uhusiano upi na mjadala? nilikwambia unahitaji dkt wa akili pronto
Mungu anahitajika kuwasaidia kujua kwamba ninyi ni washamba sana, china kuna train nzuri sana za kisasa, hizohizo za diesel engine, shetani gani aliyewachagulia vyuma chakavu?
 
mtanzania wa kidato cha nne anapigwa kiingereza na mKenya wa nursery...nani mshamba sasa?😀😀wewe hapa hata najua nikakuambia upige sentensi moja tu nitazikwa kesho sababu ya kicheko...wazee wa broken english..washamba wa Bongo town...kisha usisahau vile vyuma vyenu vya chang'aa mnazoziita ndege...😀😀😀
3960731.jpg

00360752:67438a3ae024f419158787924c630984:arc614x376:w614:us1.jpg

kisha hii cattle dip yenu
Cw5oviYXUAAHzyD.jpg
 
Casablanca unavopataja jiangalie vizur...even though they don't have scrapers but are way better than pathetic nai. ..

Luanda have muscles to invest on scrapers yes...and if you can prove me how better they are now that will be more impressive...unless Dar is still better on scrapers than Luanda
PLEASE PLAY YOUR OWN LEAGUE
dont try to be over ambitious comparing yourselves to luanda, [HASHTAG]#knowyourboundaries[/HASHTAG]
luanda-angola.jpg

dws-van-oord-angola-luanda-waterfront-770px.jpg

45ee15d4a92954d2ac312dff71d5e4ab.jpg

Angola-Luanda-Bay-760-x-500-Photo-credit-Miguel-Costa-Photography.jpg

Marginal-Avenida-4de-Fevreiro-Luanda.jpg
 
mtanzania wa kidato cha nne anapigwa kiingereza na mKenya wa nursery...nani mshamba sasa?😀😀wewe hapa hata najua nikakuambia upige sentensi moja tu nitazikwa kesho sababu ya kicheko...wazee wa broken english..washamba wa Bongo town...kisha usisahau vile vyuma vyenu vya chang'aa mnazoziita ndege...😀😀😀
Kuhusu train ninafurahi umekubali kuwa ninyi ni washamba, umeona ubadilishe topic kwasababu kule huna la kujitetea.

Huenda mwaka 2020 tukafuta kabisa matumizi ya kiingereza katika vyuo vikuu, sisi sio slaves like you, ambao lugha yenu ya taifa ni kiswahili lakini mnajisifia kujua lugha ya mabwana zenu, ndiyo sababu hata nilipotaja bullet trains, mfano wako ulikua ni UK, sishangai nikiona wanaume wengi toka Kenya wanaolewa na wazungu...vipi wewe hujapata mzungu wa kukuoa?..
 
haya nenda kalilie mamako sababu nimebadilisha topic mshamba ww...😀😀
hii cattle dip pia msisahau..baadaye katafte kikombe uende kazi omba omba pal jijini 😀😀Nairobi
Cw5oviYXUAAHzyD.jpg

watu wa LDC😀😀
Africa-UN.jpg
 
PLEASE PLAY YOUR OWN LEAGUE
dont try to be over ambitious comparing yourselves to luanda, [HASHTAG]#knowyourboundaries[/HASHTAG]
luanda-angola.jpg

dws-van-oord-angola-luanda-waterfront-770px.jpg

45ee15d4a92954d2ac312dff71d5e4ab.jpg

Angola-Luanda-Bay-760-x-500-Photo-credit-Miguel-Costa-Photography.jpg

Marginal-Avenida-4de-Fevreiro-Luanda.jpg
You can hate Dar but for this pics of Luanda what is so special to surpass Dar? Lemme tel you pal,all you need to do now is proving to anyones that Luanda has something special not that shits uve posted
 
emoji23.png
emoji23.png
povu hili sasa....leta picha za Dar ujaribu kufananisha na ule mji..
 
Mpka mpate hayo majengo ndo muongee ..sasa hiv hamna hata over 34 hata moja wakati sisi tuna TPA 40flr ..ikumbukwe ilikuwa mpate 38flr NsSf hazina ..hadi leo hii iko stalled
Hua zinageuka kua white elephant kama pinnacle😀😀
 
haya nenda kalilie mamako sababu nimebadilisha topic mshamba ww...😀😀
hii cattle dip pia msisahau..baadaye katafte kikombe uende kazi omba omba pal jijini 😀😀Nairobi
Cw5oviYXUAAHzyD.jpg

watu wa LDC😀😀
Africa-UN.jpg
hahaha....hii ndio inafaa kushindana na Jkia
 
Back
Top Bottom