Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hiyo licha unaweza linganisha na picha ya Unguja - Zanzibar maeneo ya forodhani. Haiwezi karibia Dar. Ondoa ushamba.
wewe unakuaga unapenda dar sana hadi hautaki ukweli ata moyoni mwako najua unaamini dar kubwa kushinda New york...but ukweli ni kua dar uko league moja na mombasa na maputo
 
hata nimepitia pitia picha za luanda...ingawa ni mji mdogo, kuna sehem nzuri sana...panakaa ulaya...
Ni sehemu moja tu pembezoni mwa bahari ndio pamejengeka sehemu zingine ovyo kabisa kamji kadogo sana tena sana😀😀😀😀😀😀
 
Hio thread nimeshapitia siku nyingi bro wala usipate tabu hakuna thread ambayo mm sijapitia wewe endelea kutuonesha renders acha hasira😀😀😀😀
mimi sipitiagi za tz sana labda nijaribu leo though najua projects ni kidogo kama za west pokot
 
hahaha....shocked indeed.

hahaha....shocked indeed.
6bfcd6305b643821c9be5158fafa2d17.jpg
Mkuda anaipenda hii picha ya mwaka 47
 
wewe unakuaga unapenda dar sana hadi hautaki ukweli ata moyoni mwako najua unaamini dar kubwa kushinda New york...but ukweli ni kua dar uko league moja na mombasa na maputo
mombasa inapambana na kigoma. Nairobi na Arusha.
 
Tukipost za nairobi zenye side ya kibera na CBD mnakua na maneno mob Kama lecture la physiology
 
Ni sehemu moja tu pembezoni mwa bahari ndio pamejengeka sehemu zingine ovyo kabisa kamji kadogo sana tena sana😀😀😀😀😀😀
ndio nimegundua...ila hapo baharini paliojengka pameshinda Dar kwa mbali sana
 
Tukipost za nairobi zenye side ya kibera na CBD mnakua na maneno mob Kama lecture la physiology
Mm nakupa siri hakuna mkenya yoyote hata siku moja atakubali maendeleo ya tanzania hayupo na hatatokea wazoee tu😀😀😀😀😀
 
Mombasa kufkia dar ilipo subiri 2060😀😀😀
dar ndio itafikia mombasa 2030 sai ata port ya MSA kubwa mara 3
sgr tayari ipo msa
tourist wengi msa kushinda dar(tourist tz huenda kilimanjaro,serengeti etc hawatambui darslum)
suburbs na hotels ata nusu hamfikkii Msa
Gdp yenu na Msa ni sawa
millionares Msa 1000 dar 1200
2060 Unasema ni Dar kufikia Nairobi bila maendeleo yyte kuendelea nairobi sai
 
Port kubwa mara tatu alikwambia nani??? Labda nikupe taarifa dar port iko under huge expansion, mombasa imeshindwa kupambana na zanzibar kwa hotel dar itaiwezea wapi????millionares tafuta data sahihi kama nilivokwambia awali

Eti tourist hawaitambui dar ndivo ndoto zako hzo😀😀
 
mtanzania wa kidato cha nne anapigwa kiingereza na mKenya wa nursery...nani mshamba sasa?😀😀wewe hapa hata najua nikakuambia upige sentensi moja tu nitazikwa kesho sababu ya kicheko...wazee wa broken english..washamba wa Bongo town...kisha usisahau vile vyuma vyenu vya chang'aa mnazoziita ndege...😀😀😀
3960731.jpg

00360752:67438a3ae024f419158787924c630984:arc614x376:w614:us1.jpg

kisha hii cattle dip yenu
Cw5oviYXUAAHzyD.jpg
aisee wewe kwa dharau kiboko
 
Back
Top Bottom