Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

By the way, it has just hit me...Can Nairobi compete with Luanda? judging by those pictures, I now have doubts
You can post the best of Luanda, I'm pretty sure Luanda is just an ordinary city ...I've bn passing through alot of forums Luanda is only expensive city to live, and has oil ...
 
emoji23.png
emoji23.png
emoji23.png
nilishapitia kule ndugu...mimi sio kama ww bado ndio bado unabalehe
emoji23.png
emoji23.png
pengin Dar ingine...ile ninayoijua nashuku..
😀😀😀😀 Nikikumbuka 10 yrs back mlivokua munatukana watanzania leo hii naona kijasho cha nywele kinawatoka😛😛😛
 
You can post the best of Luanda, I'm pretty sure Luanda is just an ordinary city ...I've bn passing through alot of forums Luanda is only expensive city to live, and has oil ...
those pictures are amazing...wacha kujifanya...ukigongwa sugua...sio kujifanya eti hujaumia...
 
picha ndio hio hapo...leta moja ya Dar inayokaribia hio kisha tuongee
Hvi jay uko timamu dar ni mji mkubwa sana umejengeka karibu kila sehemu so kwa akili yako unafkiri tutaeka magorofa sehemu moja 😀😀😀 bila shaka utakua nduza
 
sababu tuna tambua kuwa ndio lugha ya kimataifa kwa sasa...kiswahili ikigeuka na kuwa lugha ya kimataifa na kibiashara tutabadilisha haraka...inaitwa exposure...hata wachina wamanza kujifunza kiingrza kwa ajili ya biashara
Mbona hata ngozi nyeupe pia ndiyo ngozi ya kimataifa, kwanini msijichubue kama Michael Jakson?, mbona mataifa mengine yote yanatumia lugha zao za taifa kama Tanzania na kiingereza kinabaki kuwa lugha ya pili kwa wale wanaotaka kufanya hayo mawasiliano ya kimataifa, hivi wananchi kule vijijini, Turkana, kilifi, Bondo, wanahitaji kuwasiliana internationally?
 
those pictures are amazing...wacha kujifanya...ukipigwa sugua...sio kujifanya eti hujaumia...
Kiukwel nyie jamaa mnapenda tu kukaa side opposite...nna uhakika ata siku mkiamua sifia bunjumbura mtasema inafunika Dar

Why can't you engage to post the best of Luanda to prove us how bera its
 
ebu nifanye research kidogo kuhusu Luanda...nilikua naidharau sana kumbe sio mchezo...another fantastic city is Harare...anyone can quickly dismiss it but it is fine...
 
Back
Top Bottom