Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

EACOPP 🔥

 
EACOPP 🔥

Sijaelewa hapo Aliposema lifespan ya EACOP ni miaka 25.

Na wakati huo huo tunaambiwa kwamba huenda Bomba likaja kutumia na DRC,South Sudan na Uganda yenyewe in case ikagundua mafuta mengine zaidi.

Ufafanuzi please.
 
Kote kote tunawapiga Wakunya nyundo za utosini 🔨🔨

View: https://www.instagram.com/p/CuBobfLt8om/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
827041819.jpg
-2105487027.jpg
 
Hawa watz hata wakijua ukweli hujifanya hawaoni .....wana mzaha mwingi sana. Wanaeza linganisha Mombasa hata na Morogoro......
Dodoma huwezi kulinganisha na mji wowote East and central Africa, ni mji wa kisasa, hakuna cha Dar, Nairobi wala mji wowote ule hapa EA unaoweza kubishana na Dodoma kama unabisha twende ground.
 
We mwanadamu unayejua mengi...niache na ukima wangu...lakini najua ukweli huuma. Ukiangalia vizuri upande wa kushoto kuna jumba la 20flr linaitwa J. Complex lina crane juu bado ilikuwa ikiundwa. Hili jumba lllimalizwa kitambo sana ndio kuonyesha picha zako n za kale. Kutoka wakati huo Mombasa imebadilika sana.
Mombasa ndiyo mji unaoongoza kwa nyumba za udongo Africa.
 
Back
Top Bottom