Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hapa vitongojini yaani outskirts.....karibu kilomita 10 kutoka katikati ya mji.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
We cheka tu....lakini ukweli ni kuwa Huna "facts" watafuta vijisababu tu...😆😆😆
 
We cheka tu....lakini ukweli ni kuwa Huna "facts" watafuta vijisababu tu...😆😆😆
Old town yote iko chini ya maji eti city hahahahaha CBD inanuka haina mfano mm nimefika mombasa zaidi ya mara 30 ww hata lungalunga hujawah nusa harufu 😅😅

Ww kuna kitu unaeza nidanganya kenya mm nimezungua robo tatu ya kenya nzima sehemu sijafika ni turkana huko na lamu tu
 
Mwanzo ulisema kama hizo picha ni za zamani to mean that kwasasa hilo eneo halipo hivyo, correct.? Sahii unadai eti na nyumba za zamani na mnazitunza 🤣🤣🤣🤣🤣 nikuelewe vipi.? Wacha kujichanganya we kima..
We mwanadamu unayejua mengi...niache na ukima wangu...lakini najua ukweli huuma. Ukiangalia vizuri upande wa kushoto kuna jumba la 20flr linaitwa J. Complex lina crane juu bado ilikuwa ikiundwa. Hili jumba lllimalizwa kitambo sana ndio kuonyesha picha zako n za kale. Kutoka wakati huo Mombasa imebadilika sana.
 
Najua hutofurahi 😅😅😅😅
 
Shows how backward you guys are, in Kenya it is protocol that the president travels with 2 identical KDF helicopters always
1700683767588.jpeg

1700684053254.jpeg
 
Back
Top Bottom