ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Kwa hiyo nani msimamizi? Pesa ipo Wizara ya Ujenzi na TanRoads ndio Wana procure wakandarasi makanjanja Kwa sababu wanahongwa.
Sasa hivi itawatokea puani
View: https://www.instagram.com/p/Cz-gFkVI_l_/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==
Munataka kazi za mbiombio tu alaf mkiripuliwa kazi muanze kupanua pua zenu
Kila waziri sasa hvi kageuka kua chawa hata kama hakuna suala la muhimu atafanya liwe la muhimu kusudi tu lionekane
😅😅😅😅😅😅😅😅 itamtokea nani puani
Tanroad imefanya kazi ngapi kwenye nchi hii au unajua kupost hujui kusoma