Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nilifikiri UNiCEF wataenda kenya kuangalia mt kilimanjaro kumbe wameupanda mlima
😅😅😅😅😅😅😅😅
Screenshots_2023-11-23-08-20-29.png
 
Kula Vichwa Bashungwa Hadi miungu watu waishe hapo TanRoads na Wizarani.

Aweso ameweza maji yanatoka

Mchengerwa ameanza kula vichwa vya Ma DED nidhamu inarudi

Biteko ameanza kula vichwa huko Tanesco

Tunataka na Waziri Ummy na Masahni wale vichwa,hizo Wizara zao ni kero sana kwa Wananchi.

View: https://www.instagram.com/p/Cz-gFkVI_l_/?igshid=NmJiYWZiY2E0Mg==

Sasa Rais atalala usingizi
 
Back
Top Bottom