It seems tentatively it can pump oil for 25 years risk free but could go beyond that albeit with some risk involved.Sijaelewa hapo Aliposema lifespan ya EACOP ni miaka 25.
Na wakati huo huo tunaambiwa kwamba huenda Bomba likaja kutumia na DRC,South Sudan na Uganda yenyewe in case ikagundua mafuta mengine zaidi.
Ufafanuzi please.