Chizi wewe eti Kenyans machines ngari gani mnatengeneza hapo Kunyaland?
Chizi wewe eti Kenyans machines ngari gani mnatengeneza hapo Kunyaland?
Is AVA a car brand or what wewe kima?Let's see who's fala here.
Let's start with Rungwe incase you didn't know. Do you see that place written AVA, do you know what it means?
View attachment 2821939
Wacha uongo nawe! Una-bore! Hapo ni Vingunguti!Hiyo ni assembly workshop iko kibaha outside Dar Scania office iko mjini kima wewe.
Raw Nairobi 😂😂😂 ipo kama Afghanistan au Iraq, potholes everywhere, heaps of garbages, overcrowded streets, crazy motorists, narrow roads kama mstari wa tako, decayed buildings, rotten surroundings 🤮🤮🤧, sidewalk is a luxury in this Shithole of the world
View: https://youtu.be/vlt3hUpGVxM?si=NDw1TRjPjSmz7JFp
AVA is a body builder and assembler. They're in partnership to assemble Scania vehicle for East African market.Is AVA a car brand or what wewe kima?
Mbona hujauliza Scania Tanzania pia wakuambie wana-supply trucks Kenya pia?AVA is a body builder and assembler. They're in partnership to assemble Scania vehicle for East African market.
View attachment 2821956
Hey Mr haywire unataka na mimi nikuletee communication kama hiyo from Scania Tanzania cause I know someone too.
Mjini hakuna mafuriko....ni vitongojini zaidi ya km 10 kutoka CBD. Na ni area moja tu. Pata habari sahihi....Mji wote uko chini ya maji eti wanashindanisha na modern city like mwanza 😅😅😅😅
View attachment 2818260
View attachment 2818261
View attachment 2818267
View attachment 2818268View attachment 2818269
Hizi picha za zamani sana.. tafuta picha za juzi juzi uone jinsi mambo yalivyo.Wenyewe wanasema mombasa ikipata three blue towers tu tayari itakua imeipita DAR. Hiyo mombasa sasa 👇🤣🤣🤣View attachment 2818303View attachment 2818304View attachment 2818305View attachment 2818306🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 hii ni stone town Znz ndio it's competitor achilia mbali Arusha.
Kwahyo hizo nyumba mmezivunja nowdays au.? 🤣🤣🤣Hizi picha za zamani sana.. tafuta picha za juzi juzi uone jinsi mambo yalivyo.
Kwahyo hizo nyumba mmezivunja nowdays au.? 🤣🤣🤣 hizo zapatikana Mji wa kale(old town)
Hizo nyumba kuu kuu hupatikana mji wa kale(old town)...na zimekuwa zikihifadhiwa kwa miaka mingi kama historia...ni sehemu ya UNESCO world heritage sites(https://worldarchitecture.org/architecture-projects/hefgh/old-town-mombasa-mud-project-pages.html). Kama sivyo zingekuwa zimebomolewa kitambo. Mbali na huko.. kuna mji wa kisasa pia wenye majumba ya kisasa.Kwahyo hizo nyumba mmezivunja nowdays au.? 🤣🤣🤣
Eti enhhh, umetumwa ??😅😅😅Mjini hakuna mafuriko....ni vitongojini zaidi ya km 10 kutoka CBD. Na ni area moja tu. Pata habari sahihi....
Ebu waulize utuonyeshe jibu😂😂Mbona hujauliza Scania Tanzania pia wakuambie wana-supply trucks Kenya pia?
Do I really care if you know someone from there or not? What i know most Scania trucks operating in Tz were and are assembled in Kenya by AVA.Hey Mr haywire unataka na mimi nikuletee communication kama hiyo from Scania Tanzania cause I know someone too.
Mwanzo ulisema kama hizo picha ni za zamani to mean that kwasasa hilo eneo halipo hivyo, correct.? Sahii unadai eti na nyumba za zamani na mnazitunza 🤣🤣🤣🤣🤣 nikuelewe vipi.? Wacha kujichanganya we kima..Hizo nyumba kuu kuu hupatikana mji wa kale(old town)...na zimekuwa zikihifadhiwa kwa miaka mingi kama historia...ni sehemu ya UNESCO world heritage sites(OLD TOWN MOMBASA MUD). Kama sivyo zingekuwa zimebomolewa kitambo. Mbali na huko.. kuna mji wa kisasa pia wenye majumba ya kisasa.
Mjini hakuna mafuriko....ni vitongojini zaidi ya km 10 kutoka CBD. Na ni area moja tu. Pata habari sahihi....
Haya kula chuma hicho😅😅😅Mjini hakuna mafuriko....ni vitongojini zaidi ya km 10 kutoka CBD. Na ni area moja tu. Pata habari sahihi....
Hawa watz hata wakijua ukweli hujifanya hawaoni .....wana mzaha mwingi sana. Wanaeza linganisha Mombasa hata na Morogoro......Bado, hujaijua Mombasa. Kisha muache kuvitaja vijiji Dodoma na Mwanza. Kidogo Arusha inakubaliwa. Watu tu wazima acha kujidhalilisha na vitu za kijinga kama Dodoma na Mwanza. Sio eti Arusha nzuri, lakini kiasi kidogo imepiku vijiji hivyo vingine.
Nasema hivyo sababu nimefika hizi Town zote. Achani bana ni aibu.
Haya, Mombasa yenyewe. Mtu angeweza itisha hii battle!!!!
View attachment 2790465
agent while it has been in Tanzania longer than in Kenya! do u know that Tanzania had Scania truck assembly plant in Kibaha?
View: https://www.facebook.com/ScaniaTanzaniaLtd/videos/499051431014496