Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

2020 itakua ni Nairobi na SA cities tu..pengine Egypt pia wana miji kama Cairo na Alexandria....wengine watakua ni kutusindikiza...hata za Morocco watakua bado...
 
😀😀😀😀😀 sifa za uongo zimekwisha siku hizi...ujanja kwisha umebakia ujinga tu😛😛😛
sawa unajua wakati mwingine inabidi umdanganye mtoto ili apate usingizi...nami nakwambia Pinnacle project imekufa...haya tulia sasa usije ukafa na heart attack
 
😀😀😀😀😀 endelea kutuonesha renders plz usisahau na montave plz bro
 
2020 itakua ni Nairobi na SA cities tu..pengine Egypt pia wana miji kama Cairo na Alexandria....wengine watakua ni kutusindikiza...hata za Morocco watakua bado...
ilikua 2014 now is 2017 so again 2020😀😀😀😀😀😀 vyuma vimekaza kisawasawa..endelea kutuonesha renders plz bro
leo siamini kama wakenya wamekua wafamaji
 
The pinnacle project in Nairobi is DEAD!!!!! it's a white elephant.
Are you happy now?
 
ilikua 2014 now is 2017 so again 2020😀😀😀😀😀😀 vyuma vimekaza kisawasawa..endelea kutuonesha renders plz bro
leo siamini kama wakenya wamekua wafamaji
naona dawa imekolea sawasawa ndani yako.......Nairobi ni mji unaoheshimika Africa hii na dunia mzima......nakupa pole zangu kwa maumivu
 
uhuru kenyata alisema nairobi is a heart of africa mugabe akamjibu nairobi is not even a foot of africa😛😛😛 yani dunia nzima iheshimu nairobi labda kwa slums ambazo zinaongoza duniani😀😀😀
 
Hatukamati ng'ombe wa kenya pekee mpaka nje ya africa
IMG_1018.jpg
 
Wao wamepigwa na wachina just 447 km wamecharazwa 3.8 billion usd bado interest hujaeeka hapo...

Nairob to msa 447km = 3.8 billion usd ni sawa na 8.55 trillion .....diesel SGR 120km/hr...loan from china

Dar to dodoma 712km = 3.13 billion usd ni sawa na 7.062 trillion..... modern electric train 160km/hr...government of tanzania fund

Wachina mjue Mungu anawaona😀😀😀
 
naona dawa imekolea sawasawa ndani yako.......Nairobi ni mji unaoheshimika Africa hii na dunia mzima......nakupa pole zangu kwa maumivu
Kuheshimika ata tu?nadhan ata mwadui wanaheshikima embu tafuta story zenye mashiko ...
 
2020 itakua ni Nairobi na SA cities tu..pengine Egypt pia wana miji kama Cairo na Alexandria....wengine watakua ni kutusindikiza...hata za Morocco watakua bado...
Ukumbuke tu Nairobi haifikii Pretoria kwa kila kitu...bisha nmuite t-time apa
Hakika ni ajabu mno kuiwaza ata Casablanca watu walishaachana na Maisha ya kishamba mnayoishi apo Nairobi...wale wanausafiri wa ulimwengu wa kwanza nyie mko na matatu bado....
 
Mlimani city today is full of people of all race ....,Is it bcos of udsm graduation or what. ..the place is busy today ...
 
Wao wamepigwa na wachina just 447 km wamecharazwa 3.8 billion usd bado interest hujaeeka hapo...

Nairob to msa 447km = 3.8 billion usd ni sawa na 8.55 trillion .....diesel SGR 120km/hr...loan from china

Dar to dodoma 712km = 3.13 billion usd ni sawa na 7.062 trillion..... modern electric train 160km/hr...government of tanzania fund

Wachina mjue Mungu anawaona😀😀😀
Naomba noonyeshe Termini na u specify kuwa zitajengwa ngapi
 
Kuna ya kisumu inaitwa Kit Mikayi,si eti wameiba...nimejionea mwenyewe
msee,
hii jiwe katika picha lipo kisumu au lipo mwanza?...tuanzie hapo kwanza then tuendelee na debate.
b43b0b1d27ebd9e16631de4d776e9486.jpg

BTW tuwekee hapa hilo jiwe la kisumu.

NB:
baada ya jana ku-share screenshot hapa,leo nimejaribu ku-search kenya via google earth app,nimekuta wameifuta picha ya jiwe la mwanza.

nadhani wameingiwa na aibu baada kuona tumewashtukia.
 
Naomba noonyeshe Termini na u specify kuwa zitajengwa ngapi
from dar to morogoro 300km zitajengwa 6 terminal hio uhakika
but from morogoro to dodoma zitakua more than 10 but sijapata uhakika zaidi
 
Back
Top Bottom