Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

sikulaumu lakini ndugu...najua kizungu shida sana...acha nizungumze lugha unayoielewa vyma...kaka blaza laila odinga..
emoji23.png
emoji23.png
Wala sikitaki, kwanza ninajisikia vibaya sana nikimuona mtu mwenye ngozi nyeusi anazungumza lugha za kigeni, mimi tukikutana usinizungumzie lugha za wakoloni, hata siwezi kukujibu, I am a free man from slavery, hata wewe ninajua taratibu utakomboka ki mawazo na one day you gonna be free
You can hate Dar but for this pics of Luanda what is so special to surpass Dar? Lemme tel you pal,all you need to do now is proving to anyones that Luanda has something special not that shits uve posted
 
Wala sikitaki, kwanza ninajisikia vibaya sana nikimuona mtu mwenye ngozi nyeusi anazungumza lugha za kigeni, mimi tukikutana usinizungumzie lugha za wakoloni, hata siwezi kukujibu, I am a free man from slavery, hata wewe ninajua taratibu utakomboka ki mawazo na one day you gonna be free
emoji23.png
emoji23.png
povu la Omo hili...kulia lia mnapenda sana kaka blaza...
 
haya nenda kalilie mamako sababu nimebadilisha topic mshamba ww...😀😀
hii cattle dip pia msisahau..baadaye katafte kikombe uende kazi omba omba pal jijini 😀😀Nairobi
Cw5oviYXUAAHzyD.jpg

watu wa LDC😀😀
Africa-UN.jpg
Our airport is only small but ain't ugly,Even world is laughing at you when you say cattle dip, that is words of mouth only that won't break a bone. ..
 
By the way, it has just hit me...Can Nairobi compete with Luanda? judging by those pictures, I now have doubts
 
nimemwambia Luanda iko lvel ingine haskii huo mshamba
I can still stand by dar side and shouting that Dar has muscles to battle Luanda...I don't have any reason to post dar pics as you have them in hundreds
 
Our airport is only small but ain't ugly,Even world is laughing at you when you say cattle dip, that is words of mouth only that won't break a bone. ..
emoji23.png
emoji23.png
which world? cattle dip ya Maasai usiniletee bro...yaani hata station ya Athi River Sgr ni bora...
 
I can still stand by dar side and shouting that Dar has muscles to battle Luanda...I don't have any reason to post dar pics as you have them in hundreds
nilidhani uliitisha picha za luanda...haya ndio hio umeletewa...mbona wasiwasi...lta picha za Dar basi tufananishe
 
Sasa luanda ni mji mdogo sana tena sana inaingia kwa dar zaidi ya mara 10, tuliza akili
zungumza na picha...sio kufululiza ushamba hapa
emoji23.png
emoji23.png
Lagos ndio mji mkubwa kabisa Afika nzima...Johannsburg inaingia kwa Lagos mara ngapi?? ila usijaribu kufananisha Lagos na Joburg
emoji23.png
emoji23.png
 
Jibu kwanini mnathamini kiingereza kuliko lugha yenu ya taifa....watumwa ninyi?
sababu tuna tambua kuwa ndio lugha ya kimataifa kwa sasa...kiswahili ikigeuka na kuwa lugha ya kimataifa na kibiashara tutabadilisha haraka...inaitwa exposure...hata wachina wameanza kujifunza kiingereza kwa ajili ya biashara
 
zungumza na picha...sio kufululiza ushamba hapa
emoji23.png
emoji23.png
Lagos ndio mji mkubwa kabisa Afika nzima...Johannsburg inaingia kwa Lagos mara ngapi?? ila usijaribu kufananisha Lagos na Joburg
emoji23.png
emoji23.png
Hvi luanda ni mji unaeza ringanisha na dar bila shaka akili yako haiko sawa, luanda imejengwa sehemu moja tu majengo yao asilimia 80 yapo hapa tu
IMG_1055.JPG
 
Back
Top Bottom