Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Moto. Nimetembea hii Nairobi and I have seen satisfactory change in all directions. Nairobi has no equivalent outside South Africa
Wewe southafrica umefika? Unaijua? au Unapaskia?mimi nimefika capetown,jorburg,pretoria etc na picha ninazo 🤓usiongee kitu usicho kuwa na idea nacho haya sasa nionyeshe any city in Southern Africa panakaa hivi?👇🏼👇🏼
IMG_5274.jpeg
IMG_5273.jpeg
IMG_5195.jpeg
IMG_5197.jpeg
 
Mkicheza na Tz mnajitutumua ,
Mkiifunga Tz mnaona mmemaliza kazi mkisogea mbele mnakula kichapo mwanzo mwisho,

Team ya Tz huwaga haiwafikirii kabisa ndiyo maana huwa hatusumbuki kutumia nguvu tunapocheza na team yenu ya taifa
Excuses galore. Can't remember the last time Tanzania defeated Kenya.

Hata kwenye FIFA rankings tuko mbele yenu alafu unakuja hapa na nye nye nye mingi
 
My dear sis or bro, hilo eneo halina vumbi hata kidogo na kijani ya DAR ni kijani kibichi, hiyo ni editing ya hiyo video.. ninazopicha za hilo eneo kibao nilizopiga kwa mkono wangu
Translate: Ninazo picha nilizopiga filter za hilo eneo kibao.
 
Njua mlivalishwa mkapiga picha nazo ili muwadanganye maboya wenzenu wakunyalazy soma juu apo kwenye kofia kama jeshi lenye akili utavaa kofia ya US border patrol kweli akili mliuza....
Hivi kiprotokali imekaaje mwanajeshi wa nchi anapovaa sare na jeshi jingine na kutwanga foto maana kwa jwtz hao wote wasingekuwa na kazi tena
 
Ati Bamburi Group? Both Bamburi and Hoima were owned by Holcim a Swiss company n Bamburi group does not exist! Also Mbeya cement!

 
Back
Top Bottom