Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


Imagine mpaka huu mradi wa SGR una miaka zaidi ya minne lakini bado wakenya wengi hawaujui kabisa, vipi kama wao ndio wangekua wanajenga mradi mkubwa hivi duniani kote wangejua laiti wangejua tu nusu ya miradi inayoendelea Tanzania kwa sasa wangeandamana mwezi mzima kuiondoa serikali yao madarakani, napenda jinsi wanavyoidharau Tanzania sababu watakuwa surprised siku wakiona mambo kwa ground na watajidharau sana
 
Huyo mjinga wa extended canopy kulikuwa hakuna haja ya kutumia silaa nzito hivi kumpiga 😂😂😂
Shidaangu mimi nae sina subra, nilivyoona adui amejitokeza tu nikammiminia/nikamchakaza risasi nyingi sana punde tu alivyotokeza komwe lake 🤣🤣🤣. Mniwie radhi wakuu kesho nitasubiri hadi tumteke awe mateka kwanza kisha tumuue kidogo kidogo, tuanze kumkata kata kama nyama buchani. 🤣🤣🤣 Ili apate uchungu wa umauti wa kiwango cha juu sana. 🤣🤣
 
Back
Top Bottom