Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upperclass workshops, seminars, benchmarks, summits, exhibitions, forums, conferences za health and medical issues zimezidi Tanzania, hii inatoa ishara kwamba tupo vizuri kwenye sector

20231116_131743.jpg

View: https://twitter.com/Ulayafacts/status/1725078749052387398?t=t2egpOhxPSEqYqNtVtPcjg&s=19
 
yaani yule mzee alale mahala pema peponi kwa kweli alitufanya tukakubali vya kwetu na kuweza kuzalisha kwa wingi mpaka soko likajaa nakumbuka alivyosema hata ukiwa na cherehani 2 ni kiwanda tayari watu hawakumuelewa
Mzee alikuwa na nia njema kwa nchi yake sema kuna baadhi ya watu walikuwa hawajamuelewa, walidhani anapambana na upigaji wao kumbe alikuwa anaweka mazingira mazuri kwa wote mpk vizazi vyao vijavyo.
 
These communication gadgets are used by US Special units… even KDF , it’s only special forces have them… am surprised they are part of our Border Police unit … must be the Haiti bound squad since they are being equipped by the US Border Police ( a special Unit)….i now see the Haitian flag patch on their uniform..though the US border patrol cap is unnecessary though maybe a gift..😄
View attachment 2815019View attachment 2815020
Njua mlivalishwa mkapiga picha nazo ili muwadanganye maboya wenzenu wakunyalazy soma juu apo kwenye kofia kama jeshi lenye akili utavaa kofia ya US border patrol kweli akili mliuza....
 
Mzee alikuwa na nia njema kwa nchi yake sema kuna baadhi ya watu walikuwa hawajamuelewa, walidhani anapambana na upigaji wao kumbe alikuwa anaweka mazingira mazuri kwa wote mpk vizazi vyao vijavyo.
kabisa na ndio maana alikuwa anasema mara kwa mara mtanikumbuka kwa mazuri imagne yule wa china wa kipindi wanajitafuta alivyowanyoosha alikini leo dunia inaiimba china na wachina wanatembea vifua mbele sababu kuna kiongozi wao mathubuti aliwashape jinsi walivyo leo.
 
Njua mlivalishwa mkapiga picha nazo ili muwadanganye maboya wenzenu wakunyalazy soma juu apo kwenye kofia kama jeshi lenye akili utavaa kofia ya US border patrol kweli akili mliuza....
watanzania tumekuwa ni konyo yaani siku hizi hatudanganyiki walahi hii ni zaidi ya v.a.r sikuona hayo maandishi.
 
Upperclass workshops, seminars, benchmarks, summits, exhibitions, forums, conferences za health and medical issues zimezidi Tanzania, hii inatoa ishara kwamba tupo vizuri kwenye sector

View attachment 2815390

View: https://twitter.com/Ulayafacts/status/1725078749052387398?t=t2egpOhxPSEqYqNtVtPcjg&s=19

Mama ameifungua Nchi,Tanzania Kwa Sasa ni namba 5 Kwa MISA kutoka 15.

Mikutano haiishi.Mwezi ujao Kuna Mkutano wa Kanda wa WB utafanyika Zanzibar na Rais wa WB Ajay Banga atahudhuria.
 
Back
Top Bottom