Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3064.jpeg
 
Kama hakuna mtu anapanda basi mbona investors wa Tz wanazinunua? Ama hii sio number plate ya Tz?😅😅

View attachment 2815855
We kijana naona umerudi? Naona ulijifungia kutafuta bus wiki nzima. Unataka kusema huku bongo tutaishobokea hiyo.


Alafu nikuibie siri, Bongo bus pia zinaenda na plate number, hata kama bus lako ni kampuni kubwa tunaangalia Number, now tupo E unasema DLE tupande ruti ya mkoani?

May be hizo za kijijini mpakani na kwenu.
 
Kama hakuna mtu anapanda basi mbona investors wa Tz wanazinunua? Ama hii sio number plate ya Tz?😅😅

View attachment 2815855
Wewe nyumbu nilishakwambia hakuna Kampuni yeyote ya Tanzania inaweza nunua scrapper Kunyaland.

Aliharibu huyo Master eeh baada ya watu kugundua ni vyuma chakavu kutoka Kunyaland wakaacha kupanda kapotea road 😆😆😆

Tunanunua vitu Piruu vitu quality kama hivi 👇
20231115_105152.jpg
20231114_201700.jpg
20231114_102220.jpg
20231113_185152.jpg
20231113_184926.jpg
20231116_130956.jpg
20231115_104947.jpg
20231115_104931.jpg
20231116_065203.jpg
20231116_145406.jpg
 
Back
Top Bottom