Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe nyumbu nilishakwambia hakuna Kampuni yeyote ya Tanzania inaweza nunua scrapper Kunyaland.

Aliharibu huyo Master eeh baada ya watu kugundua ni vyuma chakavu kutoka Kunyaland wakaacha kupanda kapotea road 😆😆😆

Tunanunua vitu Piruu vitu quality kama hivi 👇View attachment 2815913View attachment 2815914View attachment 2815915View attachment 2815916View attachment 2815917View attachment 2815918View attachment 2815919View attachment 2815920View attachment 2815921View attachment 2815922
Ni kweli mnapanda vitu quality with Kenyan number plates 😅😅😅😅
20231115_105152.jpg

Wakati wa nyani kufa kila mti huteleza
 
Excuse galore. Give such an area to Kenyans and you'll see the difference in the standard of living of the local people.

Go to fertile agricultural lands like Kisii and Central highlands kama utakutana na nyumba za nyasi
Ni kwakua waishio huko Kisii wengi ni Makabaila.
 
Mama ameifungua Nchi,Tanzania Kwa Sasa ni namba 5 Kwa MISA kutoka 15.

Mikutano haiishi.Mwezi ujao Kuna Mkutano wa Kanda wa WB utafanyika Zanzibar na Rais wa WB Ajay Banga atahudhuria.
Mfungua njia anajulikana mzee, hata ukipiga porojo 95% ya watanzania wanaujua ukweli, hapa unajisumbua tu, sijui mama sijui nini unajisumbua tu mkuu, ukimkubali mama umemkubali JPM utake usitake, ndiyo maana mama anakuambia kazi iendelee, yn hapa kazi tu inaendelea.
 
We kijana naona umerudi? Naona ulijifungia kutafuta bus wiki nzima. Unataka kusema huku bongo tutaishobokea hiyo.


Alafu nikuibie siri, Bongo bus pia zinaenda na plate number, hata kama bus lako ni kampuni kubwa tunaangalia Number, now tupo E unasema DLE tupande ruti ya mkoani?

May be hizo za kijijini mpakani na kwenu.
Do you understand the word retouch? The vehicle got accident and it was returned back to Kenya for remake.
 
Ni kweli huwezi pata maeneo mazuri kama ya Tanzania huko Kunyaland failed state 🤣🤣

Soma hiyoo 👇

View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1724812013598310507?t=am2XGrYQ29J7VIPZZZfOpQ&s=19

There's nothing beautiful about grass-thatched houses in an evidently rich agricultural land like Njombe. Huo ni amasikini uliokithiri na kumea mizizi. Yani Mungu anakujalia almost kila kitu na bado unaishi kwenye nyumba ya nyasi and you call that beautiful? Wow! Wow! Wow! Ldc katika ubora wake
 
There's nothing beautiful about grass-thatched houses in an evidently rich agricultural land like Njombe. Huo ni amasikini uliokithiri na kumea mizizi. Yani Mungu anakujalia almost kila kitu na bado unaishi kwenye nyumba ya nyasi and you call that beautiful? Wow! Wow! Wow! Ldc katika ubora wake
the real tanzania tunaijua...haha.Will be back in Arusha at around April....round hii will not spare these dimwits
 
Back
Top Bottom